Mambo ya Msingi Sana katika maisha

Mambo ya Msingi Sana katika maisha

At least unakua umepunguza Risk,kunyonya ni fasta tu...halafu unalalaje kifuani kwa malaya? Hawa ni kainama,umemwinua miguu n.k
Ujue kudomba malaya kifo cha mende kinabei yake na kumchumisha magimbi kuna bei yake mara nyingi nakuwaga na pesa za kifo cha mende tu
 
(1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili.

(2) Usiteme mate, kutapika, kupenga kamasi, wenzako wakiwa wanakula.

(3) Ukienda nyumbani kwa mtu, hususan rafiki, usitangaze madhaifu utakayoyaona. Mfano: Watoto wao wanashindia nguo zilizochanika.

(4) Rafiki yako unayeheshimiana naye, usiwe na namba ya simu ya mkewe ili kuepuka kutembea naye.

(5) Ukiacha kazi ofisini, usiwatukane former employers wako kwa maana katika maisha kuna leo na kesho.

(6) Ni vema ukapakua chakula kidogo kisha ukaongeza kuliko kupakua kingi alafu ukashindwa kukimaliza.

(7) Ukienda kwenye sherehe, hata kama wewe ni ndugu za karibu, usikae sehemu za VIP bila kukaribishwa. Ni aibu sana kuambiwa uondoke kwenye seat za VIP uende kwa wageni wa kawaida.

(8) Ukigundua spouse wa rafiki yako ana uhusiano wa nje ya ndoa, mfuate na mkanye ila usimwambie mumewe/mkewe.

(9) Mtu akikusaidia mara moja, usimgeuzi kitega uchumi cha kumuomba mara kwa mara. Kumbuka yeye pia ana majukumu yake binafsi.

(10) Ukiongea kwenye simu na mtu wa mbali sio vizuri kusema "fulani (Alex) nipo naye hapa ongea naye pia. Kama huyo Alex hajakuomba kuongea na mhusika basi kaa kimya.

(11) Ukipata mshahara mwisho wa mwezi, wape kidogo mfanya usafi pamoja na mpika chai hapo ofisini kwenu. Hao ndio informers na wanajua mengi ya hapo ofisini kwenu.

(12) Usiache kwenda likizo ya mapumziko kwa kuambiwa eti "tutakufidia kwa fedha hizo siku 28 za mapumziko". Afya yako ya akili ni kitu cha msingi sana.

(13) Ukienda ugenini kisha ukaachwa peke yako sebuleni, usishike chochote kama mwenyeji wako hayupo (ameenda kunununulia soda kwa mfano). Hata kama ni gazeti umelikuta hapo, subiri akirudi ndio umuombe.

ONGEZEA NA WEWE NDUGU YANGU......
Namba 8 masuala yasiyokuhusu ni vyema kuachana nayo, masuala ya kumkanya wewe sio mkwe wake achana nao watajuana wenyewe

Namba 11 kuna umuhimu wake ila angalia na mazingira kwanza, mimi naawathamini sana hao watu maana kuna msala mmoja ulinikuta ofisini nikakwama kabisa mpaka kwa boss nako nilifeli wakati nahangaika na mhasibu pale koridoni ni kama alinisikia hivi nachokilalamikia, akanivuta pembeni akasema hiyo issue jaribu sehemu fulani hivi huko ndani ndani, huwezi amini hiyo issue ilikuwa solved na nikafanikisha
 
Wafanya usafi, madereva, wapiga chai pamoja na wale wenye mishahara midogo maofisi, ni watu muhimu sana mkuu wangu.
 
Namba 8 masuala yasiyokuhusu ni vyema kuachana nayo, masuala ya kumkanya wewe sio mkwe wake achana nao watajuana wenyewe

Namba 11 kuna umuhimu wake ila angalia na mazingira kwanza, mimi naawathamini sana hao watu maana kuna msala mmoja ulinikuta ofisini nikakwama kabisa mpaka kwa boss nako nilifeli wakati nahangaika na mhasibu pale koridoni ni kama alinisikia hivi nachokilalamikia, akanivuta pembeni akasema hiyo issue jaribu sehemu fulani hivi huko ndani ndani, huwezi amini hiyo issue ilikuwa solved na nikafanikisha
Good
 
Back
Top Bottom