Nakweleza hivi sababu hii ilmtokea mzee wangu alidhulumiwa eneo lenye thamani kubwa yule aliemdhulumu alipata pesa nyingi tu baada ya kuuza kanunua mpaka basi la kusafirisha abiria na anapetaKarma is real my dear brother. Trust me.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakweleza hivi sababu hii ilmtokea mzee wangu alidhulumiwa eneo lenye thamani kubwa yule aliemdhulumu alipata pesa nyingi tu baada ya kuuza kanunua mpaka basi la kusafirisha abiria na anapetaKarma is real my dear brother. Trust me.
Hahahaha, baharia unatisha sana.At least unakua umepunguza Risk,kunyonya ni fasta tu...halafu unalalaje kifuani kwa malaya? Hawa ni kainama,umemwinua miguu n.k
Huko sijawah lakini hapa nimechukua some pointYa ndugu wa karibu waweza kujialika ukitaka, ila siyo ya shemeji wa mkwe wa dada yake mjomba wa mama mdogo wa babu
It will backfire. Trust me comrade.Nakweleza hivi sababu hii ilmtokea mzee wangu alidhulumiwa eneo lenye thamani kubwa yule aliemdhulumu alipata pesa nyingi tu baada ya kuuza kanunua mpaka basi la kusafirisha abiria na anapeta
Ujue kudomba malaya kifo cha mende kinabei yake na kumchumisha magimbi kuna bei yake mara nyingi nakuwaga na pesa za kifo cha mende tuAt least unakua umepunguza Risk,kunyonya ni fasta tu...halafu unalalaje kifuani kwa malaya? Hawa ni kainama,umemwinua miguu n.k
Safi sana mkuu.Kama hujaalikwa kwenye shughuli kamwe usiende.
Namba 8 masuala yasiyokuhusu ni vyema kuachana nayo, masuala ya kumkanya wewe sio mkwe wake achana nao watajuana wenyewe(1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili.
(2) Usiteme mate, kutapika, kupenga kamasi, wenzako wakiwa wanakula.
(3) Ukienda nyumbani kwa mtu, hususan rafiki, usitangaze madhaifu utakayoyaona. Mfano: Watoto wao wanashindia nguo zilizochanika.
(4) Rafiki yako unayeheshimiana naye, usiwe na namba ya simu ya mkewe ili kuepuka kutembea naye.
(5) Ukiacha kazi ofisini, usiwatukane former employers wako kwa maana katika maisha kuna leo na kesho.
(6) Ni vema ukapakua chakula kidogo kisha ukaongeza kuliko kupakua kingi alafu ukashindwa kukimaliza.
(7) Ukienda kwenye sherehe, hata kama wewe ni ndugu za karibu, usikae sehemu za VIP bila kukaribishwa. Ni aibu sana kuambiwa uondoke kwenye seat za VIP uende kwa wageni wa kawaida.
(8) Ukigundua spouse wa rafiki yako ana uhusiano wa nje ya ndoa, mfuate na mkanye ila usimwambie mumewe/mkewe.
(9) Mtu akikusaidia mara moja, usimgeuzi kitega uchumi cha kumuomba mara kwa mara. Kumbuka yeye pia ana majukumu yake binafsi.
(10) Ukiongea kwenye simu na mtu wa mbali sio vizuri kusema "fulani (Alex) nipo naye hapa ongea naye pia. Kama huyo Alex hajakuomba kuongea na mhusika basi kaa kimya.
(11) Ukipata mshahara mwisho wa mwezi, wape kidogo mfanya usafi pamoja na mpika chai hapo ofisini kwenu. Hao ndio informers na wanajua mengi ya hapo ofisini kwenu.
(12) Usiache kwenda likizo ya mapumziko kwa kuambiwa eti "tutakufidia kwa fedha hizo siku 28 za mapumziko". Afya yako ya akili ni kitu cha msingi sana.
(13) Ukienda ugenini kisha ukaachwa peke yako sebuleni, usishike chochote kama mwenyeji wako hayupo (ameenda kunununulia soda kwa mfano). Hata kama ni gazeti umelikuta hapo, subiri akirudi ndio umuombe.
ONGEZEA NA WEWE NDUGU YANGU......
Yes. Sio lazima ila ni muhimu. Good.Hata ukialikwa siyo lazima uende,
Usipende kumuita mtu Mzee Baba ikiwa tunatumia majina feki,na hata jinsia fake.Sawa Mzee baba
Hahahaaa, sawa kaka mkubwa....Namba 8 masuala yasiyokuhusu ni vyema kuachana nayo, masuala ya kumkanya wewe sio mkwe wake achana nao watajuana wenyewe
Sawa mkuu....Usipende kumuita mtu Mzee Baba ikiwa tunatumia majina feki,na hata jinsia fake.
Humu tunaitana mkuu.
Wafanya usafi, madereva, wapiga chai pamoja na wale wenye mishahara midogo maofisi, ni watu muhimu sana mkuu wangu.Namba 11 kuna umuhimu wake ila angalia na mazingira kwanza, mimi naawathamini sana hao watu maana kuna msala mmoja ulinikuta ofisini nikakwama kabisa mpaka kwa boss nako nilifeli wakati nahangaika na mhasibu pale koridoni ni kama alinisikia hivi nachokilalamikia, akanivuta pembeni akasema hiyo issue jaribu sehemu fulani hivi huko ndani ndani, huwezi amini hiyo issue ilikuwa solved na nikafanikisha
Sema mwanangu hawa kuna sehemu wanafiki ambazo Ata mfanyakazi mkubwa hawezi kufika mfano dereva wa bossWafanya usafi, madereva, wapiga chai pamoja na wale wenye mishahara midogo maofisi, ni watu muhimu sana mkuu wangu.
GoodNamba 8 masuala yasiyokuhusu ni vyema kuachana nayo, masuala ya kumkanya wewe sio mkwe wake achana nao watajuana wenyewe
Namba 11 kuna umuhimu wake ila angalia na mazingira kwanza, mimi naawathamini sana hao watu maana kuna msala mmoja ulinikuta ofisini nikakwama kabisa mpaka kwa boss nako nilifeli wakati nahangaika na mhasibu pale koridoni ni kama alinisikia hivi nachokilalamikia, akanivuta pembeni akasema hiyo issue jaribu sehemu fulani hivi huko ndani ndani, huwezi amini hiyo issue ilikuwa solved na nikafanikisha
Niliwahi kuwekeza hirizi kwenye kiti cha ofisi mwaka 2018, nikapewa taarifa za mfanya usafi.Sema mwanangu hawa kuna sehemu wanafiki ambazo Ata mfanyakazi mkubwa hawezi kufika mfano dereva wa boss
Niliwahi kuwekeza hirizi kwenye kiti cha ofisi mwaka 2018, nikapewa taarifa za mfanya usafi.
Sema ujue nini, I don't believe in witchcraft and voodoo.
Kuhusu kula sinaga home wala away,pote ni show showKama umeenda ugenini siku moja, pakua kidogo tuu. Utashiba ukirudi home kwako.
Hii kitu anayo Bibi yangu aisee akitafuta ugali, Kama grenda lakini tumeshazoeaJitaidi ukiwa unakula au unatafuna kitu mdomoni ufunge mdomo ili kuzuia sauti ya kukera kwa wengine unaokula nao utafunapo huku unafungua mdomo.
Napata nguvu wapi kuacha mswaki kule hata liwepo tenga la mswaki hukuti mswaki wangu 🙂Pia, usiache mswaki wako katika choo au bafu linalotumiwa na watu wengi
Lakini mimi nasema usiwe Nae kabisa!ANOTHER ONE: Jitahidi sana usiwe na mwanamke wa ziada katika mtaa mmoja unapoishi na familia yako (mke na watoto). Kama utaamua kuwa na mwanamke wa ziada basi awe mbali na hapo mtaani kwako.
Respect your wife and children.