Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
- Thread starter
- #221
Daaaah, kwanini mkuu wangu??Usije kujichanganya ukaoa pisi ya kirangi aisee!! Hakuna rangi utaacha kuiona hapa duniani.
Hallelujah!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaah, kwanini mkuu wangu??Usije kujichanganya ukaoa pisi ya kirangi aisee!! Hakuna rangi utaacha kuiona hapa duniani.
Hallelujah!!!
Good-Kwa wachepukaji, usipende kuwa na mwanamke mazingira ya kazi, kanisani/msikitini na maeneo ya nyumbani.
Well said brotherKwa wachepukaji, usipende kuwa na mwanamke mazingira ya kazi, kanisani/msikitini na maeneo ya nyumbani.
Kweli kabisa mkuu. Unakuta mtu ametoka kunywa maji tu, kisha anatumia toothpick kuchokonoa meno.Usishinde siku nzima unachokonoa meno na toothpick
Never judge a book by it's cover.Usichague mtu wa kumheshimu itakuja kukucost
Ntaendelea kuisoma kwa kurudia rudia, usiwe na namba ya mke wa mshikaji wako au rafiki yako, kwa namna yoyote kumkanya sitaweza maana hawachelewi kupindua meza kusema best yako ananitaka, kuwekwa ndani ya chupa nadhani mnajua mbilimbi zake(1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili.
(2) Usiteme mate, kutapika, kupenga kamasi, wenzako wakiwa wanakula.
(3) Ukienda nyumbani kwa mtu, hususan rafiki, usitangaze madhaifu utakayoyaona. Mfano: Watoto wao wanashindia nguo zilizochanika.
(4) Rafiki yako unayeheshimiana naye, usiwe na namba ya simu ya mkewe ili kuepuka kutembea naye.
(5) Ukiacha kazi ofisini, usiwatukane former employers wako kwa maana katika maisha kuna leo na kesho.
(6) Ni vema ukapakua chakula kidogo kisha ukaongeza kuliko kupakua kingi alafu ukashindwa kukimaliza.
(7) Ukienda kwenye sherehe, hata kama wewe ni ndugu za karibu, usikae sehemu za VIP bila kukaribishwa. Ni aibu sana kuambiwa uondoke kwenye seat za VIP uende kwa wageni wa kawaida.
(8) Ukigundua spouse wa rafiki yako ana uhusiano wa nje ya ndoa, mfuate na mkanye ila usimwambie mumewe/mkewe.
(9) Mtu akikusaidia mara moja, usimgeuzi kitega uchumi cha kumuomba mara kwa mara. Kumbuka yeye pia ana majukumu yake binafsi.
(10) Ukiongea kwenye simu na mtu wa mbali sio vizuri kusema "fulani (Alex) nipo naye hapa ongea naye pia. Kama huyo Alex hajakuomba kuongea na mhusika basi kaa kimya.
(11) Ukipata mshahara mwisho wa mwezi, wape kidogo mfanya usafi pamoja na mpika chai hapo ofisini kwenu. Hao ndio informers na wanajua mengi ya hapo ofisini kwenu.
(12) Usiache kwenda likizo ya mapumziko kwa kuambiwa eti "tutakufidia kwa fedha hizo siku 28 za mapumziko". Afya yako ya akili ni kitu cha msingi sana.
(13) Ukienda ugenini kisha ukaachwa peke yako sebuleni, usishike chochote kama mwenyeji wako hayupo (ameenda kunununulia soda kwa mfano). Hata kama ni gazeti umelikuta hapo, subiri akirudi ndio umuombe.
ONGEZEA NA WEWE NDUGU YANGU......
....kwa maana kila mmoja ana mission yake hapa duniani.Usipende kulinganisha maisha yako na watu wengine especially rafiki zako
Amini watu wachache..Usiamini mtu yeyote
😀😀😀😀 nimeipenda lugha uliyotumia. Muungwana sana wewe. Lazima utakuwa polygamist 😅😅ANOTHER ONE: Jitahidi sana usiwe na mwanamke wa ziada katika mtaa mmoja unapoishi na familia yako (mke na watoto). Kama utaamua kuwa na mwanamke wa ziada basi awe mbali na hapo mtaani kwako.
Respect your wife and children.
Good sana hii mkuuUkifanikiwa kuwa karibu/rafiki na mtu aliyekuzidi kipato/Tajiri,, jitahidi kuficha umasikini wako, kamwe usiweke shida mbele na kumuomba hela,,,,, Matajiri hawapendi kuliliwa shida
Mkuu, muache tu ajifanye haijui karma.Endelea kudhulumu
Poa mkuu. Tupo pamoja.Hakika
As of now, Mzee Manara is way too irrelevant katika usemaji wa soka la bongo.No 5 inamuhusu Haji Manara,alitukana sana watu siku aliyoondoka mtaa wa Msimbazi (Simba)
SaaaafiKabla ya kumhukumu mtu yoyote jaribu kwanza kuvaa kiatu chake ...
Hakika mkuuKuropoka ropoka ovyo kwa maneno yasio na maan fikiria san ongea kidogo inatosha
She might end up flipping the table na kukugeuzia kibao?? Au sio mkuu??Ntaendelea kuisoma kwa kurudia rudia, usiwe na namba ya mke wa mshikaji wako au rafiki yako, kwa namna yoyote kumkanya sitaweza maana hawachelewi kupindua meza kusema best yako ananitaka, kuwekwa ndani ya chupa nadhani mnajua mbilimbi zake
Okay. Sawa mkuu. Thanks.😀😀😀😀 nimeipenda lugha uliyotumia. Muungwana sana wewe. Lazima utakuwa polygamist 😅😅
Mimi hata kuoa bado mkuu..Lazima utakuwa polygamist 😅😅
Sawa mkuu..Ouky ngoja nikubali ,ila umakini unaanza na ww mwenyewe kwanza