j
Kwani wewe ni mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya?Hii ya pili inanihusu, nikiona wenzangu wanakula chakula kizuri na hawanikaribishi basi natema mate na kukohoa mbele yao ili wasuse chaula, tukose wote.