Mambo yaliyokuwa yanakuudhi nyumbani ulipokuwa mdogo...

Hahahaha hiyo imewahi kuwatokea wengi tu alafu unatembea kwa kujiamini kuna sku rafk yangu alinipitia saa 10 kufika shulen tunakutana na mabundi darasan ikabid tukakae mlangoni kwa Mwalimu
 
Hahahaha hiyo imewahi kuwatokea wengi tu alafu unatembea kwa kujiamini kuna sku rafk yangu alinipitia saa 10 kufika shulen tunakutana na mabundi darasan ikabid tukakae mlangoni kwa Mwalimu
sema school hakusomekagi ukiwahi namba ticha wa zamu hapigi wachelewaji sasa we chelewa utapenda.
 
niletee kitunguuu-- unaleta
niletee nyanya-- unaleta
niletee kisu-- unaleta
niletee maji-- unaleta
hujakaa sawa
niletee mwiko-- unaleta
hujapumzika unasikia
hebu niletee chumvi
hadi hicho chakula kiive umeshatembea zaidi ya km 10 kufata vitu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1:kucheza mwisho saa12 ikifika saa12 niwe nimerudi hom
2:kwenda chuo/madrasa nikirud shulee agrrrr nilikuwa sifik chuo naenda kucheza kuna siku ostadh alinifata hom nilikula mbarata had chuo
 
mimi kulala mchana...nilikua sipendi na ilikua hamna kwenda kucheza hadi ulale mchana...basi nkifika room najilizaaaa hadi macho yawe mekundu af nachukua kitana nafunga kune paji la uso hadi alama itokee eti ndo mistari mistari ile ukitoka kuamka[emoji1]...af nakaa kidogo nasepa zangu kucheza...
 
Dada wa kazi alinitesa sana kuhusu kulala mchana natandka mito naenda kucheza anakuja kunifata mbinu zote alikuwa anazijua hahaha da Happy popote ulipo nakusalimia ulinitesa sana mshenz ww
 
Dada wa kazi alinitesa sana kuhusu kulala mchana natandka mito naenda kucheza anakuja kunifata mbinu zote alikuwa anazijua hahaha da Happy popote ulipo nakusalimia ulinitesa sana mshenz ww
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna siku niliona wanapika ugali na nyanya chungu nikasema nimeshiba ule mda wapo wanakula nikapita sebleni nikakuta tobaa!kumbe mzee aliludi na nyama choma,machozi yakaanza kutoka nikaulizwa nini nikasema kichwa kinauma nilipelekwa mpaka dispensar kuchomwa sindano za bure,nyama hajawai niacha salama
 
Unamsindikiza rafiki yako wa mtaa wa saba huko huko unakutana na mzee halafu anapita bila kukuongelesha hapo ndo unageuka saladin anakukuta nyumbani unajisomea licha ya kuwa yeye alikuwa kwenye pikpik.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…