Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Vibaya mno unaota uko nje unacheza mpira unawaambia subirini nikojoe kumbe ndiyo unaharibu kitandani asubuhi unapashwa na bi mkubwa bakora mbili tat uhapo ushalimwaga kojo😀🙂
🙂🙂🙂Vibaya mno unaota uko nje unacheza mpira unawaambia subirini nikojoe kumbe ndiyo unaharibu kitandani asubuhi unapashwa na bi mkubwa bakora mbili tat u
Sure aiseniletee kitunguuu-- unaleta
niletee nyanya-- unaleta
niletee kisu-- unaleta
niletee maji-- unaleta
hujakaa sawa
niletee mwiko-- unaleta
hujapumzika unasikia
hebu niletee chumvi
hadi hicho chakula kiive umeshatembea zaidi ya km 10 kufata vitu tu.
[emoji23] [emoji23]Hahahahaha tabia alikuwa nayo mjomba miaka hiyo ya 68 72
Hahahahah mkuu acha tu au kutwanga udaga mpaka upate unga wa ugalioohh kutwanga karanga mpk zirainike zitoe mafuta
kwa ajiri ya mboga za maboga
Ndiyo maana nikakumbuka usemi wa babu yangu ya kuwa mtu mzima mzidi mbio tu ila siyo akili[emoji23] [emoji23]
Ukikataa anakutishia Basi hatuendi wote!
Na vile utoto una usongo wa kusafiri unajikuta umempa anakula kweli
AiseeBaba alikuwa ananikera.
Akirudi kazini ananiamsha nikamnunulie dawa pharmacy.
kuna wakati nikienda kununua Dawa.kama kuna sehemu kuna kibaraza nalala.mpaka anakuja kunifata mwenyewe.
Acha tu mkuu enzi hizo mzee wa boma alikuwa wa boma kweli akitia timu akiwa anatoka kwenye kazi zake boma kimya inajulikana mwenye boma yupo leo hii kina baba tunasema eti mtoto kanishinda kulea miaka hiyo utashindikana ukiwa mtu mzima siyo ukiwa kwenye himaya ya mtemiUmejikojolea usiku asubuh unaweka mambo sawa umetandka vzr mtu asijue, unarud shule kwa mbali unaona godoro limeanikwa kwenye bati na vibokamchiz vyako vimening'inizwa kwenye kamba, alooo sitasahau those days Me vs My father a.k.a mkoloni. Ckhz hatuamin wajukuu wanamchezea sharubu
Watu wa dizaini hiyo walikuwa wachoyo mjomba alikuwa anaweka maji pembeni ukijisikia kiu hakuna kutuma raia amka mwenyewe tu ukanyweKuagizwa maji ya kunywa mda wa kula nilkuwa nakelwa sana
we jaamaa hatariUmejikojolea usiku asubuh unaweka mambo sawa umetandka vzr mtu asijue, unarud shule kwa mbali unaona godoro limeanikwa kwenye bati na vibokamchiz vyako vimening'inizwa kwenye kamba, alooo sitasahau those days Me vs My father a.k.a mkoloni. Ckhz hatuamin wajukuu wanamchezea sharubu