Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Nadhani nawe ushakua sasa ni zam yako kuwapa watoto mapande makubwa nawe ule kidogoDingi anapewa pande kubwa la samaki, madogo mnapewa tupande tudogo tudogo [emoji19][emoji19][emoji19]
haahaa hata mimi hiyo kitu nishawah fikilia,nikasema nikiwa na nyumba yangu asubuhi chai ya maziwa kwa vitumbua,mchana wali maharage,usiku pilau kwa nyamaMasuala ya ugali nyakati za usiku aisee ni janga... Nikajisemea siku nami nikipata kazi kila siku home nitakuwa nakula wali... Dah
This says it allKula mboga za majani
Kulala mapema
Kusuka
Kuvaa sweta jioni na slippers ndani ya nyumba
Homework
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh! Hiyo sifamimi tulikuwa tunashindana kuwahi shule ya msingi na rafiki yangu siku moja nikawahi kulala saa moja nikashtuka baadae kidogo kwa kuwa nilikuwa nishavaa sale ya shule kabisa nikavaa viatu huyo nikawaacha hom wamelala mi nikasepa,
ashukuliwe yule mlevi aliyeniludisha mpaka nyumbani,ilikuwa saa tano usiku ye ndo katoka bar.
utasikia matajiri wote walisha amka we ndo bado unajinyosha kama una hela pumba*uKuamka asubuhi ilikua mbinde.... Mzee anakuja na kopo la maji mwa.... Usingizi wote unakata..... Kuna mda hadi tunafukuzana ndani kisa kuchelewa kuamka.
hyo ndo imegusa mzee mara nyingi sana[emoji23][emoji23][emoji23]unageuza kitanda ukirudi shule kimeludishwa kama zamani
Mdogo angu alkua anapenda sana wali sasa kila mtu na sahani yake, mama alkua akitujazia msahani mkubwa, mi nakula nabakisha cha kula na chai asubuh dogo akimaliza chake mama anachukua changu anampa, nilikua nakasirika balaa, siku moja ili kumkomoa nikamaliza chote nilivimbiwa usiku sikulala ni kugugumia tuTukipewa vitu vitamu tamu vya kula,mdogo wangu akimaliza chake,akililia changu,Mama akinikata jicho tu lazima apewe kabla hajalia ng'wiiiii!!
Mdogo angu alkua anapenda sana wali sasa kila mtu na sahani yake, mama alkua akitujazia msahani mkubwa, mi nakula nabakisha cha kula na chai asubuh dogo akimaliza chake mama anachukua changu anampa, nilikua nakasirika balaa, siku moja ili kumkomoa nikamaliza chote nilivimbiwa usiku sikulala ni kugugumia tu
mkuu hiyo hata mm ilishawah nikuta mda wa kwenda shule ndo nikagundua mafuta yameisha na wazaz wameenda kazini ili bidi nipite na sunflower oilKupaka mafuta ya kula badala ya mafuta ya ngozi maana hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kikopo cha laser kilikuwa ni mpaka sikukuu
Umenirudisha utotoni aseeee..Tukipewa vitu vitamu tamu vya kula,mdogo wangu akimaliza chake,akililia changu,Mama akinikata jicho tu lazima apewe kabla hajalia ng'wiiiii!!
kuna siku niliona wanapika ugali na nyanya chungu nikasema nimeshiba ule mda wapo wanakula nikapita sebleni nikakuta tobaa!kumbe mzee aliludi na nyama choma,machozi yakaanza kutoka nikaulizwa nini nikasema kichwa kinauma nilipelekwa mpaka dispensar kuchomwa sindano za bure,nyama hajawai niacha salama
Teh teh teh.....Dada wa kazi alinitesa sana kuhusu kulala mchana natandka mito naenda kucheza anakuja kunifata mbinu zote alikuwa anazijua hahaha da Happy popote ulipo nakusalimia ulinitesa sana mshenz ww