Mambo yanayochangia mume kutembea na hausigeli

ha haaaa, sipati picha....
kwa hiyo baba akifika straight chumbani?
kama anakaa sebuleni hg atamkimbiaje? akae jikoni tu?
na akitaka kufanya kazi ambazo itabidi apite kwa sebule!:A S 39:

Yaani baba akifika hg anatakiwa kutopenya angle yoyote aliyo keti baba kama yupo chumbani anapaswa kusubiri mpaka atoke sebureni vinginevyo anakatwa mshahara
 
Yaani baba akifika hg anatakiwa kutopenya angle yoyote aliyo keti baba kama yupo chumbani anapaswa kusubiri mpaka atoke sebureni vinginevyo anakatwa mshahara
ha haaa, hii nayo kali...
kwa hiyo huyo mama huwa hasafiri peke yake na kumwacha mume home na hg?
au haendagi kwenye vikundi vya wamama/kitchen party, n.k?
 
Namchukia mwanaume aneyeoa akidhani kuwa amepata mtumwa katika maisha yake. Ndoa ni zaidi ya kupelekewa maji, kufuliwa nguo za ndanikutengewa chakula.Mkiwa na mapenzi ya kweli hivi vyote vinafanyika bila kuhesabiwa na mambo yote yanakwena. Ukiona mme anaanza kudai huduma ndogondogo kama hizo ujue mapenzi yamekwisha yamebaki mazoea.
 
ha haaa, hii nayo kali...
kwa hiyo huyo mama huwa hasafiri peke yake na kumwacha mume home na hg?
au haendagi kwenye vikundi vya wamama/kitchen party, n.k?

Kwa hapo sijui siwezi nikamsemea ila ana mabinti wakubwa anaishi nao, abiria chunga mzigo wako ndivyo anavyo ishi huyu mama
 
Ndo maana mimi kwenye uchumba mwanamke lazima ajue nataka haya kunyolewa ndevu, kwapa, uumeni, kufuliwa kila kitu, kuogeshwa, kulishwa, kunyeshwa, kutandikiwa kitanda, kuvuliwa, kubebwa na mwanamke akishindwa haya basi huyo hata sifa za kuolewa na mimi tunaachana natafuta mwingine vivyo hivyo upembuzi yakinifu unaendelea lazima ayajua haya mapema.
 
Kwa hapo sijui siwezi nikamsemea ila ana mabinti wakubwa anaishi nao, abiria chunga mzigo wako ndivyo anavyo ishi huyu mama
huo sasa ni utumwa....
unajifanya mtumwa bila kujijua
yaani niache kufanya kazi zangu freely sababu ya mume?
huyo mume ni baba wa nyumbani?
huko nje anafikiri hawezi kuchukuliwa? au allergy ya huyo mama ni kwa hg tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…