Mambo yanayoendelea Bar ya Savoy, sio tamaduni zetu

Kwahiyo unataka mwenye baa awakamate hao watembea uchi barabarani kisha awaingize ndani ya baa yake!
 
Ni bora hao wanaenda jioni. Dubai mitaa ya Deira wako 24 hrs tena wamejazana mitaani na barabarani, Iwe jua au mvua wapo tu. Na hakuna mtu anawanyanyapaa. Hii biashara ngumu kuipiga marufuku
 
Inchi inajipiga kifua kuwa wananch wameelimika kwa kutumia kinga kumbe idadi ya madangulo yameongezeka
 
Inamaana wewe umewazidi akili watu wanaoishi maeneo hayo? Huo unaitwa Utalii wa ndani, hahahaa
 
Ni kupoteza muda kupambana na biashara ya ukahaba. Hiyo biashara ipo kabla Nuhu hajajenga Safina. Unaambiwa mvua inaanza kunyesha watu wananyanduana kuja kushtuka lango la safina limefungwa. Makahaba na wateja wao wakawa wanamgongea Nuhu awafungulie kumbe Mungu mwenyewe alishaona Nuhu ataingia udhaifu na kuamua kufunga mwenyewe.
 
Wengine ni makahaba ila wako maofisini, mfano yaliyotokea Equatorial Guinea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…