Mambo yanayosababisha wanaume tuliooa tuwachoke haraka wake zetu

Hawajui ni mwendo wa Kulala ww unakujua juu yake Tu.
Ukioa Manyara, Singida na Lindi ujue umewaletea majirani.
Ukitaka mke haswa nenda Rombo, Lushoto, Iringa ufanye sambi sako mwenyewe na Njombe lkn awe Mbena. Hapo jiko utakua umepatia. Hata wakinga ukimpata aliyeshika dini utakua umelamba dume.
 
Mimi na ushahidi wa jamaa nae ambae niliwahi kuishi nae jirani kuna kipindi cha kikombe cha vyeti fake alikumbanacho na kuachishwa kazi

Sasa ikawa Mkewe ana kazi na wana watoto Wawili wanasoma shule za Private Mke akawa Mume balaa likawa jamaa ana teswa na sio kunyanyasw

Si unajua tena ndg zetu hawa wa serikalini wengi hawana plan B kwenye utafutaji jamaa akawa ana mtegemea Wife kwa kila kitu Mke akajawa na kiburi Dada wakazi akarudishwa kwao yule Jamaa akawa Beki 3

Mkewe akawa anamfokea mbele za watu Mjomba ukichanganya na stress za kuachiswa kazi akawa kama fala ni shabiki mwenzangu wa Arsenal huwa nilikua kama siku ta chek game banda umiza kwa usiku namkutaga kashika tama anawaza utaweza zani kipindi kile Unai Emiry ndio ana mnyima raha

Sasa ile hali ikaendelea kuna kipindi mke akawa anaonyesha dhahir kuwa ana mtu nje na jamaa hana la kufanya ukizingatia Mke aliwahi kupanda cheo na kifedha alikua ana mzidi Mumewe tokea awali

Jamaa ikafika kipindi akahama hom sasa kumbe Jiran kuna Madam kajenga Nyumba ila anafanya kazi mjini na amepanga huko akawa Bro yule yupo pale kama mlinzi na kwa Mkewe akahama kabisa

Yule Madam nae alikua Bachela Sugu au dizain alifiwa na Mume yule Bro akamweleza hali halisi yule Madam Madam akabeba madhaifu ya jamaa na jamaa akawa Mume wa Madam na Madam akawa ame mpenda Bro kwa ukweli kabisa

Sasa yule Mke wa jamaa nae akaleta Mwanaume mwingine hom shida ikawa watoto wamemzoea dingi yao hawamtak Baba mpya na Baba yao aliko hamia sio mbali na pale kwao wakawa wanatoroka wanaenda kwa Baba yao na yule Mama yao mpya akawa mjanja anawaletea vizawad basi tena watoto walowea kule

Yule Mke mpya kipindi nahama kule alikua ndio ana kichanga na Mzee Baba alipendwa ukwen na akawa ndio Mzee mwenye sauti kesi kutoka kwa mke mkubwa kuwa ameibiwa mume ndio akawa inapamba moto uzur majiran walikua mashuhuda yule Dada kama hajajinyonga au kunywa sumu sijui mana jamaa alionyesha amesamehe nakusahau na alipo ndio chaguo lake

Wanawake wanaweza kuwapoteza wapendwa wao kwa jeuri ya kipato au dharau ambazo zina epukika leo kama yule Mke angesimama namume wake ukute wako mbali
 
Asante, ila soon nampga chini, nasepa zangu natafta pisi moja kali navuta, maisha yanaendelea
Haujazaa nae watoto??.Km umeshazaa nae itabidi mvumiliane ili kutowaletea shida watoto maana malezi ya watoto hutegemea sana uwepo wa Wazazi wote wawili, Lkn ikiwa hamna watoto hapo sitii neno.
 
Mimi na ushahidi wa jamaa nae ambae niliwahi kuishi nae jirani kuna kipindi cha kikombe cha vyeti fake alikumbanacho na kuachishwa kazi

Sasa ikawa Mkewe ana kazi na wana watoto Wawili wanasoma shule za Private Mke akawa Mume balaa likawa jamaa ana teswa na sio kunyanyasw

Si unajua tena ndg zetu hawa wa serikalini wengi hawana plan B kwenye utafutaji jamaa akawa ana mtegemea Wife kwa kila kitu Mke akajawa na kiburi Dada wakazi akarudishwa kwao yule Jamaa akawa Beki 3

Mkewe akawa anamfokea mbele za watu Mjomba ukichanganya na stress za kuachiswa kazi akawa kama fala ni shabiki mwenzangu wa Arsenal huwa nilikua kama siku ta chek game banda umiza kwa usiku namkutaga kashika tama anawaza utaweza zani kipindi kile Unai Emiry ndio ana mnyima raha

Sasa ile hali ikaendelea kuna kipindi mke akawa anaonyesha dhahir kuwa ana mtu nje na jamaa hana la kufanya ukizingatia Mke aliwahi kupanda cheo na kifedha alikua ana mzidi Mumewe tokea awali

Jamaa ikafika kipindi akahama hom sasa kumbe Jiran kuna Madam kajenga Nyumba ila anafanya kazi mjini na amepanga huko akawa Bro yule yupo pale kama mlinzi na kwa Mkewe akahama kabisa

Yule Madam nae alikua Bachela Sugu au dizain alifiwa na Mume yule Bro akamweleza hali halisi yule Madam Madam akabeba madhaifu ya jamaa na jamaa akawa Mume wa Madam na Madam akawa ame mpenda Bro kwa ukweli kabisa

Sasa yule Mke wa jamaa nae akaleta Mwanaume mwingine hom shida ikawa watoto wamemzoea dingi yao hawamtak Baba mpya na Baba yao aliko hamia sio mbali na pale kwao wakawa wanatoroka wanaenda kwa Baba yao na yule Mama yao mpya akawa mjanja anawaletea vizawad basi tena watoto walowea kule

Yule Mke mpya kipindi nahama kule alikua ndio ana kichanga na Mzee Baba alipendwa ukwen na akawa ndio Mzee mwenye sauti kesi kutoka kwa mke mkubwa kuwa ameibiwa mume ndio akawa inapamba moto uzur majiran walikua mashuhuda yule Dada kama hajajinyonga au kunywa sumu sijui mana jamaa alionyesha amesamehe nakusahau na alipo ndio chaguo lake

Wanawake wanaweza kuwapoteza wapendwa wao kwa jeuri ya kipato au dharau ambazo zina epukika leo kama yule Mke angesimama namume wake ukute wako mbali
Nashukuru sana Mkuu kwa kutupa ushuhuda huo,kuna watu humu hawaelewi ishu za ndoa jinsi zilivyo ngumu na jinsi Mwanamke asiye mwema kwa mumewe alivyopasua kichwa hata kuweza kuvuruga ustawi wa familia.Yaani Wanawake ni viumbe wa ajabu sana.Akiamua kukuvuruga Mwanaume anakuvuruga kweli sio mchezo, ulikuwa na kilo 80 ndani ya muda mfupi utajikuta na kilo 45.
 
Ukioa Manyara, Singida na Lindi ujue umewaletea majirani.
Ukitaka mke haswa nenda Rombo, Lushoto, Iringa ufanye sambi sako mwenyewe na Njombe lkn awe Mbena. Hapo jiko utakua umepatia. Hata wakinga ukimpata aliyeshika dini utakua umelamba dume.
Kwa hiyo unataka kusema hayo maeneo ya Singida,Lindi,Manyara hakuna Wanawake walioolewa na wakatulia kwenye ndoa zao??,Na je huko Rombo,Lushoto, Iringa na Njombe hakuna Wanawake ambao wameachika ktk ndoa kwasababu ya tabia mbovu??. Generalization sio nzuri.Si watetei hao lkn twende taratibu.
 
Kuna mambo unatakiwa uyazuie mapema kwa mwanamke wako hata ukimuoa ajue kabisa hilo jambo halitakiwi.
 
Watu bhana!!!,Hivi kweli unakuwa huna mambo mengine muhimu ya kufanya hadi uwaze kununua nyama nyingi ili kumridhisha mwanamke?.
Ila jamani nyama ni issue hasa kwa wenzetu wa Arusha na Moshi. Nikawaida Sana kukuta wamama 2 Arusha wameagiza kilo mbili za kuchoma kwenye joint huku wakishushia na tusker baridi au Serengeti lite. Utaratibu huu ni adimu hata huku Dar.
 
Nyama kilo mbili anakula peke yake au anakuwa na mwenzake??. Nadhani ndio maana Wanawake wa huko wanaota vitambi.
 
Kwani umeambiwa mimi ni Mwandishi wa habari!!??
Heee!! wewe ni zigo hasa!utaelimishwa mpaka lini???! kwani ulipofundishwa ''Mwandiko'' darasani uliambiwa utakuwa mwandishi wa habari??
 
Back
Top Bottom