Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Mwanamke hata awe msafi kiasi gani,mchapa kazi kiasi gani ila swala la kuichoka na kuikinai moya [emoji28]lipo pale pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukioa Manyara, Singida na Lindi ujue umewaletea majirani.Hawajui ni mwendo wa Kulala ww unakujua juu yake Tu.
Ameolewa na mmasaiKama unanunua nusu ulitegemea nini?
Nunua nyama kilo kumi tumbukiza my freezer uone Kama zitaishia jikoni.
Sio kweliNasisi tunavumilia jamani msituonee tu....mnanuka mbupu hatareee
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mwanaume alieoa ukikuta mchafu,jua mkewe ndo mchafu. Mke anashndwa kumfulia hata kumpa Maj ya kuogaNasisi tunavumilia jamani msituonee tu....mnanuka mbupu hatareee
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mjomba kuna kesho kama bora ahamie kwa wamasai maana kule nyama sio kesi,nna angalia future na uchumi mapenzi ya utiifu sio mazuri.Ungeweka mazoea ya kuwa unanunua nyingi mara kwa mara ale mpaka imkifu na kuikinahi kabisa kisha angekuwa anakula kawaida tu hamu kidogo!
Haujazaa nae watoto??.Km umeshazaa nae itabidi mvumiliane ili kutowaletea shida watoto maana malezi ya watoto hutegemea sana uwepo wa Wazazi wote wawili, Lkn ikiwa hamna watoto hapo sitii neno.Asante, ila soon nampga chini, nasepa zangu natafta pisi moja kali navuta, maisha yanaendelea
Nashukuru sana Mkuu kwa kutupa ushuhuda huo,kuna watu humu hawaelewi ishu za ndoa jinsi zilivyo ngumu na jinsi Mwanamke asiye mwema kwa mumewe alivyopasua kichwa hata kuweza kuvuruga ustawi wa familia.Yaani Wanawake ni viumbe wa ajabu sana.Akiamua kukuvuruga Mwanaume anakuvuruga kweli sio mchezo, ulikuwa na kilo 80 ndani ya muda mfupi utajikuta na kilo 45.Mimi na ushahidi wa jamaa nae ambae niliwahi kuishi nae jirani kuna kipindi cha kikombe cha vyeti fake alikumbanacho na kuachishwa kazi
Sasa ikawa Mkewe ana kazi na wana watoto Wawili wanasoma shule za Private Mke akawa Mume balaa likawa jamaa ana teswa na sio kunyanyasw
Si unajua tena ndg zetu hawa wa serikalini wengi hawana plan B kwenye utafutaji jamaa akawa ana mtegemea Wife kwa kila kitu Mke akajawa na kiburi Dada wakazi akarudishwa kwao yule Jamaa akawa Beki 3
Mkewe akawa anamfokea mbele za watu Mjomba ukichanganya na stress za kuachiswa kazi akawa kama fala ni shabiki mwenzangu wa Arsenal huwa nilikua kama siku ta chek game banda umiza kwa usiku namkutaga kashika tama anawaza utaweza zani kipindi kile Unai Emiry ndio ana mnyima raha
Sasa ile hali ikaendelea kuna kipindi mke akawa anaonyesha dhahir kuwa ana mtu nje na jamaa hana la kufanya ukizingatia Mke aliwahi kupanda cheo na kifedha alikua ana mzidi Mumewe tokea awali
Jamaa ikafika kipindi akahama hom sasa kumbe Jiran kuna Madam kajenga Nyumba ila anafanya kazi mjini na amepanga huko akawa Bro yule yupo pale kama mlinzi na kwa Mkewe akahama kabisa
Yule Madam nae alikua Bachela Sugu au dizain alifiwa na Mume yule Bro akamweleza hali halisi yule Madam Madam akabeba madhaifu ya jamaa na jamaa akawa Mume wa Madam na Madam akawa ame mpenda Bro kwa ukweli kabisa
Sasa yule Mke wa jamaa nae akaleta Mwanaume mwingine hom shida ikawa watoto wamemzoea dingi yao hawamtak Baba mpya na Baba yao aliko hamia sio mbali na pale kwao wakawa wanatoroka wanaenda kwa Baba yao na yule Mama yao mpya akawa mjanja anawaletea vizawad basi tena watoto walowea kule
Yule Mke mpya kipindi nahama kule alikua ndio ana kichanga na Mzee Baba alipendwa ukwen na akawa ndio Mzee mwenye sauti kesi kutoka kwa mke mkubwa kuwa ameibiwa mume ndio akawa inapamba moto uzur majiran walikua mashuhuda yule Dada kama hajajinyonga au kunywa sumu sijui mana jamaa alionyesha amesamehe nakusahau na alipo ndio chaguo lake
Wanawake wanaweza kuwapoteza wapendwa wao kwa jeuri ya kipato au dharau ambazo zina epukika leo kama yule Mke angesimama namume wake ukute wako mbali
Kwa hiyo unataka kusema hayo maeneo ya Singida,Lindi,Manyara hakuna Wanawake walioolewa na wakatulia kwenye ndoa zao??,Na je huko Rombo,Lushoto, Iringa na Njombe hakuna Wanawake ambao wameachika ktk ndoa kwasababu ya tabia mbovu??. Generalization sio nzuri.Si watetei hao lkn twende taratibu.Ukioa Manyara, Singida na Lindi ujue umewaletea majirani.
Ukitaka mke haswa nenda Rombo, Lushoto, Iringa ufanye sambi sako mwenyewe na Njombe lkn awe Mbena. Hapo jiko utakua umepatia. Hata wakinga ukimpata aliyeshika dini utakua umelamba dume.
Kha!kha!kha!,Mzee wa mirupo aka Mademu.Mwanamke hata awe msafi kiasi gani,mchapa kazi kiasi gani ila swala la kuichoka na kuikinai moya [emoji28]lipo pale pale
Kha!kha!, Kwani ni vibaya kuniambia mimi jamaa yao??Kama wanatoa siri za wake zao waambie Chinga one wa JF kasema "NYINYI NI MAFAL.A"
Watu bhana!!!,Hivi kweli unakuwa huna mambo mengine muhimu ya kufanya hadi uwaze kununua nyama nyingi ili kumridhisha mwanamke?.Ungeweka mazoea ya kuwa unanunua nyingi mara kwa mara ale mpaka imkifu na kuikinahi kabisa kisha angekuwa anakula kawaida tu hamu kidogo!
Ila jamani nyama ni issue hasa kwa wenzetu wa Arusha na Moshi. Nikawaida Sana kukuta wamama 2 Arusha wameagiza kilo mbili za kuchoma kwenye joint huku wakishushia na tusker baridi au Serengeti lite. Utaratibu huu ni adimu hata huku Dar.Watu bhana!!!,Hivi kweli unakuwa huna mambo mengine muhimu ya kufanya hadi uwaze kununua nyama nyingi ili kumridhisha mwanamke?.
Nyama kilo mbili anakula peke yake au anakuwa na mwenzake??. Nadhani ndio maana Wanawake wa huko wanaota vitambi.Ila jamani nyama ni issue hasa kwa wenzetu wa Arusha na Moshi. Nikawaida Sana kukuta wamama 2 Arusha wameagiza kilo mbili za kuchoma kwenye joint huku wakishushia na tusker baridi au Serengeti lite. Utaratibu huu ni adimu hata huku Dar.
Heee!! wewe ni zigo hasa!utaelimishwa mpaka lini???! kwani ulipofundishwa ''Mwandiko'' darasani uliambiwa utakuwa mwandishi wa habari??Kwani umeambiwa mimi ni Mwandishi wa habari!!??