mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Hawako Kwa ajili ya faida yakoMateso yote haya ni ya nini? Mbona mkeka wa aliyebet ukichanika faster hela inakatwa!
Hawako Kwa ajili ya faida yakoMateso yote haya ni ya nini? Mbona mkeka wa aliyebet ukichanika faster hela inakatwa!
Kwenye tasnia ya betting malalamiko hayaishi pengine ni kutokuwa na uelewa wa wahusika na wadau leo naona niorodheshe mambo ambayo yanaweza kusababisha usilipwe mkeka hata kama umeshinda na nihatua gani ya kuchukua ,, vile vile nitaeleza mambo yanayochelewesha malipo.
UKIFANYA MAMBO HAYA HUTALIPWA
1. Kutofuata masharti ya bonasi uliyopewa (pending bonus) kama umekubali kupokea bonasi nimuhimu kusoma vigezo,na masharti yake ili ikitokea umeshinda milion 5 kwa bonasi usipotimiza vigezo ukinyimwa usi kalamike. Ndio kuna bonasi mpaka uzibetie mara 5 mfululizo , zipo nyingine kazima ubetie kiasi chote kwahiyo ni muhimu kutimiza masharti kabla ya kujaribu kutoa. Ili kulipwa unatakiwa kutimiza Sharti la bonasi
2. Baadhi ya kampuni nilazima utumie 100% ya kiasi ulichodeposit iliuweze kulipwa au kuruhusiwa kutoa . Ili kulipwa nilazima utimize sharti hilo.
3. Kushindwa kuthibitisha KYC
Kampuni ya betting ina haki ya kukufahamu wewe mteja wao kwa wewe kutuma document zako za uthibitisho hasa unapopata ushindi mkubwa au wanapolazimika kufanya hivyo hii nikwa mujibu wa sheria . Ili kuliowa unatakiwa kutimiza kigezo hiki.
4. Kubadilisha njia uliyotumia kuwekea pesa na ukataka kutoa kwa njia nyingine . Baadhi ya kampuni njia uliyotumia kuweka pesa ndio njia hiyo hiyo unatakiwa kutumia kutolea.
5. Kutoa pesa kwa njia ya bank Tanzania. Bank za tanzania hazipokei pesa za betting kwahiyo unaweza kudeposit kwa bank card lakini hutaruhusiwa kutoa kwa bank card so kuwa makini usitumie bank ku deposit.
Mambo ambayo unaweza kupoteza ushindi na kutolipwa kabisa
1. Bonus fraud ,, kuwa na account zaidi ya moja kwa lengo la kufaidi bonasi ,, hii inaweza kusababisha kufungiwa account moja kwa moja,, wakikuhurumia watakuomba KYC na kututa ubaki na moja lakini adhabu yake huwa nikufutiwa account (Block)
2. Fixed game : ukiambatanisha fixed game kwenye mkeka wako hautalipwa. Fixed game ni mechi zilizonunuliwa halafu zikasambaa wewe ukaipata au kwa bahati mbaya umeichagua. Mara nyingi dau linarudishwa
3. System error bookmaker anaweza kukosea odds au mtandao umezingua kwamfano Man u Vs man city Dk ya 80 wapo 0–0 halafu odds za draw ni 4.0 yani kwa ufupi ni odds kukosa uhalisia ukikimbilia ukabeti hutalipwa.
4. Kubetia kampuni ambazo hazina leseni ,, hata kama ni kampuni ya nje hakikisha ina leseni iwe ni curacao , anjuan leseni za bodi za michezo ya bahati nasibu n.k na ujiridhishe.
Mambo yanayoweza kuchelewesha Malipo
Unaweza kushinda na kulipwa lakini malipo yakachelewa
1. Mkeka unahakikiwa
2. Tatizo la kimtandao
3. Kama kuna washindi wengi walioshinda fedha nyingi. Hii inatokana ma sababu kuwa kwa mujibu wa BOT na sheria za fedha kika kampuni ina transaction limit hivyo ningumu kwa kampuni kufanya transaction kubwa kwa siku 1 , wiki 1 au wiki kadhaa,, mfano kampuni ina transaction limit ya bilion 1 kwa siku halafu wateja wameshinda bilion 10 lazima mtalipwa kwa awamu kwa siku 10 kwahiyo kabla ya kulalamika nimuhimu kujua sababu
Kama hujalipwa ufanyeje?
Kwanza wasiliana na huduma kwa wateja kampuni husika wakwambie tatizo nini na jinsi ya kutatua. Kama hujaridhika
Wasilisha malalamiko yako bodi ya michezo ya bahati nasibu kama itashindikana kwa mwongozo wa bodi ya michezo ya bahati nasibu unaweza kufungua shauri. Nimuhimu kujihakikishia kuwa hujavunja vigezo vyao . Vilevile ni muhimu kusoma vigezo na masharti kabla ya kujiunga na kampuni yeyote ile ya michezo ya bahati nasibu.
Mwisho cheza kistaarab mu na hakikisha una miaka 18 na kuendelea
Inawezekana mkuu lakini pia inategemea na kampuni kuna wengine watakuita ukapokee cash au wakuwekee bank. Kuna nyingine itawekwa kwenye account yako lakini itakubidi utoe kidogo kidogo kwa tigo pesa mpaka itakapoisha maana huwezi toa milion 60 kwa mara mojaNimeweka milioni moja kupitia tigo pesa, nime bet nikashinda milioni 60 unataka nitoe milioni 60 kupitia tigo pesa?
Ndio hivyo mhindi anatafuta fedha na wewe unatafuta fedha. Tena yeye anarisk zaidi yako isipokuwa wewe uwezo wa kupoteza ni mkubwaHawako Kwa ajili ya faida yako
🤣 hawawezi kupoteza mteja kizembe hivyo. Wanajua ukishashinda mamilion lazima kama hauna kitambulisho au number ya nida utatafuta tuKwanini kama hauna hayo mambo yote, ukiweka ela wanachukua.?
Kwanini wasiseme vigezo vyako havijakamilika na ela yako warudishe?
Ndio hiyo ni biashara. Lazima wao wafuatw sheria na wewe ufate sheriaKwasababu inawapendeza zaidi kuwa na urahisi wa kula pesa zako huku pakiwa na ugumu kula pesa zao.
Tigo pesa ya wapi hiyo unayoweza ku deposit milioni 60?Inawezekana mkuu lakini pia inategemea na kampuni kuna wengine watakuita ukapokee cash au wakuwekee bank. Kuna nyingine itawekwa kwenye account yako lakini itakubidi utoe kidogo kidogo kwa tigo pesa mpaka itakapoisha maana huwezi toa milion 60 kwa mara moja
Soma vizuri Withdraw yani kutoa pesa. Kidogo kidogo mpaka iisheTigo pesa ya wapi hiyo unayoweza ku deposit milioni 60?
Unafahamu tafsiri fasaha ya biashara na sifa zake?Ndio hiyo ni biashara. Lazima wao wafuatw sheria na wewe ufate sheria
Nimeacha hii michezo baada ya kuona ujumbe huo.yaani hyo ni CASHBACK wamepewa wateja Kwa mwezi mmoja je wamepata faida kiasi gani.kumbuka mpaka upewe Cashback ni mpaka kile ulicholiwa kiwe kikubwa.ina maana haukupata faidaNdio hivyo mhindi anatafuta fedha na wewe unatafuta fedha. Tena yeye anarisk zaidi yako isipokuwa wewe uwezo wa kupoteza ni mkubwa
Unatoa kidogo kidogo kuna kampuni maxmum withdraw 500$ kwa mara moja , kuna nyingine maximum withdraw 1M kwa mara moja so unaweza kutoa hata mara 10 kwa siku lakini pia je lain yako ina uwezo wa kupokea 10M kwa siku ? Kampuni zinatofautiana na kila kampuni ina viwango vyake. Lakini kuna kampuni watakuita wakakupe cash ,, au uwekewe kwenye bank account ,, lakini kuna mitandao unaweza kutoa fedha nyingi kwa wakati mmoja kama skrill, binance , na crypto zingineKwahiyo kwamfano nimeweka mikeka 5 na yote ikatiki ikawa jumla ni milion 80 je nitatoaje hiyo pesa?
Nani ameibiwa na hajachukua hatua?Waaambie hao majizi wenzako nao siku yao ni moja tutawachoma moto kwenye maofisi Yao..
Nikweli ukitaka kujua wateja wamedunguliwa kiasi gani , hiyo ni 25% imerudi ,, so hapo wana 75% kwenye casino tu maana sport hamna cashback ,, ndio maana nikisia mtu anasema ameshinda hajalipwa huwa inashangaza sana. Always mhindi anaoga pesa za wakamaria hawezi kukutapeli 5000 wakatu yeye kwa siku ana uwezo wakuwakaanga watu mpaka bilion mbili🤣Nimeacha hii michezo baada ya kuona ujumbe huo.yaani hyo ni CASHBACK wamepewa wateja Kwa mwezi mmoja je wamepata faida kiasi gani.kumbuka mpaka upewe Cashback ni mpaka kile ulicholiwa kiwe kikubwa.ina maana haukupata faida
Nimekuelewa, hiyo milioni 60 wanaiweka wapi? Benki au tigo pesa? Kumbuka mimi nimedeposit milioni 1 kupitia tigo pesaSoma vizuri Withdraw yani kutoa pesa. Kidogo kidogo mpaka iishe
Kama ni kampuni za nje utawekewa kwenye account yako player account ,, utatoa kidogo kidogo kwa tigo pesa not otherwise. Kwa Tanzania kama watakuwekea kwenye account yako nayo utatoa kidogo kidogo kwa tigo pesa. Kama kampuni wamekuita wakulipe cash au kwa bank itategemea na kampuniNimekuelewa, hiyo milioni 60 wanaiweka wapi? Benki au tigo pesa? Kumbuka mimi nimedeposit milioni 1 kupitia tigo pesa
Nakushauri usizungumze vitu usivyovifahamu, hakuna ubaya kwenye kujifunza.Kama ni kampuni za nje utawekewa kwenye account yako player account ,, utatoa kidogo kidogo kwa tigo pesa not otherwise. Kwa Tanzania kama watakuwekea kwenye account yako nayo utatoa kidogo kidogo kwa tigo pesa. Kama kampuni wamekuita wakulipe cash au kwa bank itategemea na kampuni
Bwana mdogo kama hujaelewa acha kubeza. Ninachoandika nina experience nacho kwa zaidi ya 15.Nakushauri usizungumze vitu usivyovifahamu, hakuna ubaya kwenye kujifunza.