Mambo yanayoweza kufanya Ukishinda Beti (Mkeka usilipwe)


Kwanini kama hauna hayo mambo yote, ukiweka ela wanachukua.?

Kwanini wasiseme vigezo vyako havijakamilika na ela yako warudishe?
 
Nimeweka milioni moja kupitia tigo pesa, nime bet nikashinda milioni 60 unataka nitoe milioni 60 kupitia tigo pesa?
Inawezekana mkuu lakini pia inategemea na kampuni kuna wengine watakuita ukapokee cash au wakuwekee bank. Kuna nyingine itawekwa kwenye account yako lakini itakubidi utoe kidogo kidogo kwa tigo pesa mpaka itakapoisha maana huwezi toa milion 60 kwa mara moja
 
Kwanini kama hauna hayo mambo yote, ukiweka ela wanachukua.?

Kwanini wasiseme vigezo vyako havijakamilika na ela yako warudishe?
🤣 hawawezi kupoteza mteja kizembe hivyo. Wanajua ukishashinda mamilion lazima kama hauna kitambulisho au number ya nida utatafuta tu
 
Kwasababu inawapendeza zaidi kuwa na urahisi wa kula pesa zako huku pakiwa na ugumu kula pesa zao.
Ndio hiyo ni biashara. Lazima wao wafuatw sheria na wewe ufate sheria
 
Tigo pesa ya wapi hiyo unayoweza ku deposit milioni 60?
 
Ndio hivyo mhindi anatafuta fedha na wewe unatafuta fedha. Tena yeye anarisk zaidi yako isipokuwa wewe uwezo wa kupoteza ni mkubwa
Nimeacha hii michezo baada ya kuona ujumbe huo.yaani hyo ni CASHBACK wamepewa wateja Kwa mwezi mmoja je wamepata faida kiasi gani.kumbuka mpaka upewe Cashback ni mpaka kile ulicholiwa kiwe kikubwa.ina maana haukupata faida
 

Attachments

  • Screenshot_20260905-073216.png
    167.1 KB · Views: 12
Waaambie hao majizi wenzako nao siku yao ni moja tutawachoma moto kwenye maofisi Yao..
 
Kwahiyo kwamfano nimeweka mikeka 5 na yote ikatiki ikawa jumla ni milion 80 je nitatoaje hiyo pesa?
Unatoa kidogo kidogo kuna kampuni maxmum withdraw 500$ kwa mara moja , kuna nyingine maximum withdraw 1M kwa mara moja so unaweza kutoa hata mara 10 kwa siku lakini pia je lain yako ina uwezo wa kupokea 10M kwa siku ? Kampuni zinatofautiana na kila kampuni ina viwango vyake. Lakini kuna kampuni watakuita wakakupe cash ,, au uwekewe kwenye bank account ,, lakini kuna mitandao unaweza kutoa fedha nyingi kwa wakati mmoja kama skrill, binance , na crypto zingine
 
Nimeacha hii michezo baada ya kuona ujumbe huo.yaani hyo ni CASHBACK wamepewa wateja Kwa mwezi mmoja je wamepata faida kiasi gani.kumbuka mpaka upewe Cashback ni mpaka kile ulicholiwa kiwe kikubwa.ina maana haukupata faida
Nikweli ukitaka kujua wateja wamedunguliwa kiasi gani , hiyo ni 25% imerudi ,, so hapo wana 75% kwenye casino tu maana sport hamna cashback ,, ndio maana nikisia mtu anasema ameshinda hajalipwa huwa inashangaza sana. Always mhindi anaoga pesa za wakamaria hawezi kukutapeli 5000 wakatu yeye kwa siku ana uwezo wakuwakaanga watu mpaka bilion mbili🤣
 
Sasa utasikia fala mmoja ameshinda 50M anasema amemfilisi mhindi au anasema kampuni za wahindi hazina pesa 🤣. Wakati kila siku nikilio , na hata hivyo hata ukishinda hiyo 50M uwezekano wa wewe kurudisha pesa yote kwake upo ,, kama hutarudisha yote basi nusu ,,
 
Nimekuelewa, hiyo milioni 60 wanaiweka wapi? Benki au tigo pesa? Kumbuka mimi nimedeposit milioni 1 kupitia tigo pesa
Kama ni kampuni za nje utawekewa kwenye account yako player account ,, utatoa kidogo kidogo kwa tigo pesa not otherwise. Kwa Tanzania kama watakuwekea kwenye account yako nayo utatoa kidogo kidogo kwa tigo pesa. Kama kampuni wamekuita wakulipe cash au kwa bank itategemea na kampuni
 
Nakushauri usizungumze vitu usivyovifahamu, hakuna ubaya kwenye kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…