Mambo yanayoweza kufanya Ukishinda Beti (Mkeka usilipwe)

Mimi huwa natumia 888bet kwasababu ndio kampuni Kubwa na tajiri duniani pia haina limit ya ushindi. Changamoto yake ni kwamba unaruhusiwa kutoa pesa mara 10 tu kwa siku. Na kiwango hakitakiwi kuzidi milion 1 , hivyo kwa siku una uwezo wa kutoa tsh milion 10 peke yake. Kama umeshinda milion 60 utaitoa kwa siku 6. Nitaeleza na kampuni nyingine.
 

Umeandika Kwa uchungu Sana mkuu
 
Kiwango cha kutoa betpawa maximum ni 3,000, 000 kwa mtowo mmoja. Unaweza kutoa mara nyingune kama line yako ina uwezo wa kupokea kiasi zaidi kama hainavunaweza kuwapigia wakuongezee. Au kuwasiliana na betpawa wakuwekee pesa bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…