dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
ishu ni 'bikra' tu
nje ya hapo, inabidi upewe bure
nje ya hapo, inabidi upewe bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walah!! Usitoe million 20,7,5,2 ajili ya shimo tu!! Ushamba huo!MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MAHARI KUWA KUBWA
Na, Robert Heriel
Baada ya huyu msanii Kudai kuwa mahari yake ni zaidi ya 500Mil(Milioni Mia tano) kwa anayetaka kumuoa. Nimeona tujadili kidogo kuhusu suala la mahari
walah!! Usitoe million 20,7,5,2 ajili ya shimo tu!! Ushamba huo!
Hii million 7 Bora ninunue bajaji nipige misele weeee nichoke!! Nina uhakika wa ugali mchana na usiku km nikisanya.
Ni zaidi kuliko kimeo aliye jaza mavi tumboni!! Eti bikra?? Kaipigiza wee wahuni wanakusanifu na bado wataendelea.
Kwani hujui bikra zinatengenezwa kirahis tena sometimes kwa ndimu tu? Wee! huko moro ndo usiseme kabisaaa!!
Wewe bado mtoto au hukusoma kabisa! Yaani mtu ana miliki mabati ambayo yana pinduka na kukuua mda wowote ndo iwe kigezo kwa muoaji loool!! Acha mentality za kimaskini wewe.
Nenda Bukoba kwa wanyambo.Arusha wabarbaig, wajita. Uone warembo wanavoita.Huko unapata bure tena kwa mafungu.
Eti Daktari,sijui hakimu hawa wamechomoa mimba mpaka kizazi kimelia pooo!!
Kusoma miaka 5 na supplimentary juuu!! Weee!! Si suala la ki-sport sport wewe acha uzwazwa.
Ma-professor wamechezea weee!! Kwa kutishia supplimentary km huyu jamaa shemhilu kawalamba huyo!!!
Hapo bado wanafunzi wenzake alimopita humo.
mara mtoto wa kike kakwama Moshi akielekea shule conda wa bus hapo amepitia.dereva nae anataka.mweee!!
Hawako salama ki viiileee!!
Unaweza toa mpunga mrefuuu kumbe halisha ng'oa kizazi kitambooo!! Ajili ya kutoa mimba mara kwa mara. Uta mbato sana mpaka na dawa za kienyeji utakunywa sana utaishia kukata moto tu!!
Wazazi watakao kupiga bei kubwa ya mahali kimbia kupitia uani usirudi tena.
Siku hizi unaanza kwa ku test zali azae kwanza au awe na mimba kabisaaa. Hii ndo dawa na usiende kichwa kichwa msomeshe demu kwanza hata kama baba yako iko mapene bora uchukue wewe kuliko kununua ri mtu kibri.
Wakurya wao wanachukua kabisa mahali za kuolea kutoka kwa wazazi.wanajenga. wananunua magari na miradi ya kuku so wanaenda chukua mademu bure huko Bukoba.wazazi wakiona mtoto guuu wanasema naaam! Ako musuri endelea mwanangu.ako akili mingi wewe!!
Mahari yangu laki 5 tu sidhani kama mtarajiwa atafeli hata kama nna elimu kubwa aisee
Ndiyo tatizo la kukariri madarasa!! Simple tu Wote hao ke na mwana ke wana ****.Kuna tofauti Kati ya Mke
Na mwanamke.
Ukilijua Hilo utaona ulichoandika ni upupu au sio upupu
Ndiyo tatizo la kukariri madarasa!! Simple tu Wote hao ke na mwana ke wana ****.
Angalia sasa ..Tangu lini upupu ukaandikwa hivi umesoma kweli wewe kaka???....
hkn tofauti usilazimishe weye kijanaNdio maana nikasema ipo tofauti ya Mke na mwanamke.
Kama hujui sema uambiwe
hkn tofauti usilazimishe weye kijana
kumbe unabishana na mie???.Sawa.
Maana kubishana siwezi hasa kubishana na mtu mjinga
Ngoja nijisogeze kwako dadaMahari yangu laki 5 tu sidhani kama mtarajiwa atafeli hata kama nna elimu kubwa aisee
Bikra pekee haitoshi kuwa sababu Mkuu
So mwenye shepu kama kajala ila kichwani empty bado unaenda lipa mahari kubwa? Makes no sense
Umesomeka vyema TaikonMAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MAHARI KUWA KUBWA
Na, Robert Heriel
Baada ya huyu msanii Kudai kuwa mahari yake ni zaidi ya 500Mil(Milioni Mia tano) kwa anayetaka kumuoa. Nimeona tujadili kidogo kuhusu suala la mahari
Mahari ni zawadi itolewayo wakati wa kuposa au kuposwa kwa lengo la shukrani. Mahari kwa jamii nyingi hutolewa kwa Muolewaji(mwanamke) hata hivyo zipo jamii chache ambazo wanaume hulipiwa mahari.
Mahari ni suala la utamaduni/ mapokeo ndani ya jamii.
Kiimani na Kiroho hakuna amri ya lazima kutoa Mahari.
Ni suala la utamaduni zaidi.
Hata hivyo ni vizuri kutoa mahari ikiwa utamaduni wako unataka hivyo.
Mahari ni zawadi, zawadi Hiyo huweza kuzingatia Zaidi mila na desturi ya jamii husika. Zipo jamii mahari ni ng’ombe, zingine Mbuzi, ngamia, Dhahabu, Fedha nk
Hata hivyo mahari inaweza isiwe kitu kinachoonekana pia, mathalani mtu anaweza pewa sharti fulani akilitekeleza Hiyo ndio mahari yake. Kama vile kuondoa tatizo fulani ndani ya nyumba anayochumbia kama vile ugonjwa, au kulipa kisasi kwa adui anayeitesa familia, n.k.
Mahari hubadilika kulingana na nyakati na zama. Kwani kama nilivyosema ni mapokeo ya wazee na wala sio amri ya Mungu.
Mahari ikiendekezwa wakati mwingine huleta dhana ya biashara. Yaani mtolewa mahari huwa kama bidhaa ya kununuliwa sokoni. Ndio maana baadhi ya jamii katika Ulimwengu wa kwanza kama nchi za Ulaya na Marekani.Ambazo wanawake hawataki kutolewa mahari
Hata hivyo Haifurahishi kuoa bila mahari. Wala haipendezi bila kutolewa mahari.
Mahari ni muhimu kuliko Harusi
Kwani mahari yenyewe wakati mwingine ndio huweza kuwa Harusi.
Hii ni kusema kiutaratibu huwezi kufanya Harusi pasipo kutoa Mahari.
Mahari huweza kuwa urithi kwa mwanamke aliyeolewa hasa kwenye koo zisizo na urithi kwa wanawakike.
Nisifanye andiko kuwa Refu; tuone ni mambo gani yanayofanya Mahari iwe kubwa?
Mambo yanayofanya Mahari iwe Kubwa kwa Mwanamke Aolewapo;
1. HADHI YA FAMILIA MWANAMKE ATOKAPO
Hii ni sababu namba moja
Kama familia ni yahadhi ya juu basi kuna uwezekano mahari ya mwanamke nayo ikawa kubwa.
Familia yenye hadhi ya juu inamatumizi ya juu pia. Kuanzia Mahali wanapoishi, vyakula wanavyokula, mavazi, Vyombo vya usafiri kama magari, Vyombo vya mawasiliano kama simu nk
Sio Unataja mahari ambayo Baba yako mwemyewe hajawahi kuishika hiyo pesa🤣🤣🤣
Huko tunaita kuchanganyikiwa
Wewe unataja milioni 500 wakati ukoo wenu wote hakuna aliyewahi kuishi hiyo pesa. Kama sio wehu huo ni nini?
Familia za hadhi ya juu kutokana na matumizi yao huweza kutaka mahari ambayo wao huona ni pesa ya kawaida lakini Kumbe Kwa upande wa masikini ni mahari kubwa.
Mfano wanaweza taja mahari million 20 ambapo kimaisha ya Kitanzania hiyo pesa ni nyingi mno.
Nakumbuka wakati Nasoma Udsm Rafiki yangu wa kike alishindwa kuolewa kisa wazazi wake walisema mahari yake ni million 25,
Miuoaji alishindwa licha ya mahari kupunguzwa mpaka milioni 15. Na alipaswa kutanguliza walau nusu yake(7.5mil)
Kama hadhi ya familia ipo chini ni ngumu mahari kuwa juu.
Sio ajabu Vijana pindi wapatapo wachumba wa kike watokao familia zenye vipato vya juu kutishiwa Na Wazazi wao kuwa wasioe huko kwani gharama zao zipo juu
2. UZURI WA MWANAMKE
Hii ni Sababu namba mbili ambayo ni kubwa.
Uzuri wa mwanamke unachangia kwa kiasi kikubwa mahari kuwa kubwa.
Na hapa nazungumzia uzuri kamili wa mwanamke sio uzuri nusu nusu
Mwanamke mwenye sura nzuri
Umbo zuri lililogawanyika
Kimo kizuri cha kati yaani sio mrefu wala sio mfupi
Sauti nzuri ya kike haswa
Rangi nzuri iliyokolea na kuteleza
Nywele nzuri
Joto la mwili nzuri na mara zote huchangiwa na rangi yake.
Mwanamke wa hivi mahari zao ni kubwa.
Sio mwanamke mwenye uzuri nusu nusu.
Jambo moja ambalo wanaume tutaringa Lao ni kuwa wanawake wazuri kamili ni wachache mno. Hivyo hiyo kwetu ni advantage
Sasa wewe uzuri hauna unataka milioni 50 wakati hata milioni 2 hutapewa 😀😀
3. USAFI WA MWANAMKE/ UBIKIRA
Sababu namba tatu ni usafi wa mwanamke yaani ubikira wake.
Ubikra ni alama ya usafi na upya wa mwanamke
Ubikra huweza kufanya mahari kuwa juu.
Mwanamke bikra hana utofauti na mtoto aliyezaliwa leo kwa habari ya usafi wa tendo la ndoa
Bei ya Kitu kipya na kitu used/mtumba ni tofauti.
Kitu kipya huzwa kwa bei kubwa wakati kitu cha mtumba huuzwa kwa bei ya hasara
Sasa mtu hana bikra na anataka mahari milioni 10 😂😂😂 Labda kama ni Vichekesho au labda kwa mshamba
Huna bikra sana sana ukipendelewa na Mungu mahari ya juu milion 1.5 au 2mil mwisho
4. UMRI
Gazeti la jana bei yake ni tofauti na Gazeti la leo. Hapa tunazungumzia uhalisia sipo kukandia mtu hapa maana najua kuna watu wanamihemko😄😄
Mahari ya Binti wa miaka 18 - 25 huwa ni kubwa mno. Tofauti na mahari ya mtu mwenye zaidi ya miaka 30+
Kimahusiano mwanamke mwenye 30+ ameshazeeka(inauma ila ndio ukweli)
Ndio maana wazazi hulazimisha Binti zao wakiwa 20-25 waolewe ili isije wasumbua baadaya ya umri huo. Lakini Baadhi ya vitoto vya kike hujitia ujuaji mwingi na kudharau wazazi.
Kinachotokea kwa wengi wao wakishafikisha 30+ ndio huelewa walichoambiwa. Hapo wamegeuka Gazeti la jana wakisubiri kufungia maandazi na kalmati.😢😢😢
Umri 18-25 ndio umri pekee mwanamke ataringia maumbile yake na kumpata mwanaume amtakaye hasa wale wanaomtongoza.
5. KAZI
Mahari ya mwanamke mwenye kazi ipo juu tofauti na yule asiyejishughulisha Yaani Golikipa.
Mwanamke mwenye kazi kama Mwalimu, Daktari, mhasibu, hakimu au Jaji, Mfanyabiashara, Mama Lishe, Muuza genge, Fundi nguo n.k mahari zao ni tofauti na Golikipa mwanamke anayemtegemea Mume wak amhudumie kama mdoli
Wanaume wa siku hizi wanatafuta wake wa kujenga wote familia. Hakuna asiyejua maisha yamebadilika na yamekuwa Magumu .
Hakuna mwanaume anayetafuta Mdoli aupeleke nyumbani watu humtafuta mke aliyeandikwa kwenye mithali 31
Kama vile wanawake wapendavyo wanaume wachapakazi ndivyo ilivyo kwa wanaume wa siku hizi. Hatutaki midoli
Ni bora ufuge Mbuzi utakula nyama au ufuge kuku utakula mayai na nyama kuliko kuoa au kuolewa na mtu asiyefanya kazi.
Ukibisha sawa
6. ELIMU
Elimu ya dini na elimu ya Dunia
Mahari huwa kubwa kama mtu Anaelimu kubwa; ya Dini na yakidunia.
Sasa wewe Ekaristi ulikimbia
PF na AY hukuitaka
Madrasa kusoma juzuu uliona ni ushamba
Shule ya msingi ulikimbia umande
Secondary ukaendekeza Balehe na kuvunja ungo ukaishia kidato cha tatu.
Veta ukapelekwa ukakataa fani ya kushona nguo huku ukijua hakuna asiyevaa nguo😀😀😀
Alafu unategemea mahari yako iwe juu 😢😢😢 ajabu hii.
Dunia uliopo hujaisoma wala pepo na kuzimu uendako hujasoma. Niambie ipi tofauti yako na mnyama? Maana hata mnyama hajasoma hayo Ila anaishi.
Sizungumzi haya kwa nia mbaya ila kama sisi tulikosea basi tuhakikishe watoto wetu hawakosea kama wafanyavyo baadhi ya watu ambao walishindwa wao ila wanajitahidi kuwapeleka watoto wao shule wapate Elimu ya Dunia Na Elimu ya kidini. Ili wasiwe kama wanyama
Ukimaindi kwa upumbavu wako Fresh
Ila ukiichukua kama Changamoto ni sawa.pia
Kwa leo hii ndio tamati
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Morogoro