Mambo yanayoweza kusababisha mahari ya unayemuoa kuwa juu

ishu ni 'bikra' tu

nje ya hapo, inabidi upewe bure
 
MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MAHARI KUWA KUBWA

Na, Robert Heriel

Baada ya huyu msanii Kudai kuwa mahari yake ni zaidi ya 500Mil(Milioni Mia tano) kwa anayetaka kumuoa. Nimeona tujadili kidogo kuhusu suala la mahari
walah!! Usitoe million 20,7,5,2 ajili ya shimo tu!! Ushamba huo!

Hii million 7 Bora ninunue bajaji nipige misele weeee nichoke!! Nina uhakika wa ugali mchana na usiku km nikisanya.

Ni zaidi kuliko kimeo aliye jaza mavi tumboni!! Eti bikra?? Kaipigiza wee wahuni wanakusanifu na bado wataendelea.

Kwani hujui bikra zinatengenezwa kirahis tena sometimes kwa ndimu tu? Wee! huko moro ndo usiseme kabisaaa!!
Wewe bado mtoto au hukusoma kabisa! Yaani mtu ana miliki mabati ambayo yana pinduka na kukuua mda wowote ndo iwe kigezo kwa muoaji loool!! Acha mentality za kimaskini wewe.

Nenda Bukoba kwa wanyambo.Arusha wabarbaig, wajita. Uone warembo wanavoita.Huko unapata bure tena kwa mafungu.

Eti Daktari,sijui hakimu hawa wamechomoa mimba mpaka kizazi kimelia pooo!!
Kusoma miaka 5 na supplimentary juuu!! Weee!! Si suala la ki-sport sport wewe acha uzwazwa.

Ma-professor wamechezea weee!! Kwa kutishia supplimentary km huyu jamaa shemhilu kawalamba huyo!!!
Hapo bado wanafunzi wenzake alimopita humo.

mara mtoto wa kike kakwama Moshi akielekea shule conda wa bus hapo amepitia.dereva nae anataka.mweee!!

Hawako salama ki viiileee!!
Unaweza toa mpunga mrefuuu kumbe halisha ng'oa kizazi kitambooo!! Ajili ya kutoa mimba mara kwa mara. Uta mbato sana mpaka na dawa za kienyeji utakunywa sana utaishia kukata moto tu!!

Wazazi watakao kupiga bei kubwa ya mahali kimbia kupitia uani usirudi tena.
Siku hizi unaanza kwa ku test zali azae kwanza au awe na mimba kabisaaa. Hii ndo dawa na usiende kichwa kichwa msomeshe demu kwanza hata kama baba yako iko mapene bora uchukue wewe kuliko kununua ri mtu kibri.

Wakurya wao wanachukua kabisa mahali za kuolea kutoka kwa wazazi.wanajenga. wananunua magari na miradi ya kuku so wanaenda chukua mademu bure huko Bukoba.wazazi wakiona mtoto guuu wanasema naaam! Ako musuri endelea mwanangu.ako akili mingi wewe!!
 

Kuna tofauti Kati ya Mke
Na mwanamke.

Ukilijua Hilo utaona ulichoandika ni upupu au sio upupu
 
Kuna tofauti Kati ya Mke
Na mwanamke.

Ukilijua Hilo utaona ulichoandika ni upupu au sio upupu
Ndiyo tatizo la kukariri madarasa!! Simple tu Wote hao ke na mwana ke wana ****.

Angalia sasa ..Tangu lini upupu ukaandikwa hivi umesoma kweli wewe kaka???....
 
Mkuu mbona wa 26 - 29 huzungumzii?
kwa mtindo huo mahari yangu ikizidi laki5 ntakua nmempiga mtoa mahari๐Ÿ˜ข
 
Sawa.

Maana kubishana siwezi hasa kubishana na mtu mjinga
kumbe unabishana na mie???.
Sikia wee mtukana hovyo mie naelimisha jamii!! kupitia jukwaa la JF.

Kumbuka Biblia takatifu inayo kubalika kote inasema hivi Na nukuu....
"kinywa cha mpumbavu hunena ya ujazayo moyo"
 
Kama unaoa kwa sababu zingine za kijamii ni sawa ila kama unaoa mke Kwa ajili yako basi Bikira ndio kigezo muhimu
 
Umesomeka vyema Taikon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ