MAMBO YANAZIDI KUCHANGAMKA: Wananchi wa Ngorongoro watoa ONYO kali kwa serikali

Nasimama nao, ila mbona kama kuna kampeni ya kumuangusha Mwenyekiti wenu 2025? Nadhani haya yote yanayotokea yako well calculated and planned mbali Sana Sana
Ukiangalia Kwa jicho la tatu, hiyo kitu uliyodokeza, inawezekana sana..........,.

Ukizingatia maneno ambayo yaliwahi tamkwa almost 2 years back na JK, kuwa mgombea wetu Kwa 2025, unless mambo yaharibike sana!

Najiuliza ni kwanini JK aliyatamka hayo, hasa ukizingatia na hali inayoendelea sasa??
 
Wamehongwa nyumba pale Msomera. Hii ngozi yetu chakavu haikubaliki kuchangamana na na ile rangi tukufu/takatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…