MAMBO YANAZIDI KUCHANGAMKA: Wananchi wa Ngorongoro watoa ONYO kali kwa serikali

HAKUNA HATA CHEMBE YA SHAKA, MASAI MUST MOVE, WAMEZALIANA SANA NI HATARI KWA HIFADHI, INFACTS SEREKALI ILICHELEWA SANA KUFANYA ZOEZI HILI ILIPASWA LIFANYIKE MIAKA YA 1980.
Unapomtoa mzawa kwenye makazi yake ya asili ukachimba madini au ukamuweka mwarabu hapo conservation ya eneo inakuwa imefanywaje?
 
Kama ishu ni uhifadhi warabu wote wanaohodhi maeneo huko hifadhini watoke maana sio maeneo ya makazi. Kama wamasai wanatakiwa kuwa evacuated na warabu wafanyiwe same treatment. Hatuitaji mtu huko ngorongoro strictly wanyama tu.
 
Mimi mwenyewe kuna jambo linanitatiza.Wamaasai wamekua hapo miaka nenda rudi kwanini wawahamishe sasa hivi!??
Sababu kuu ya kuwahamisha nini ilhali hakuna uharibifu waliouonesha mbugani!?
 
Serikali imetoa
Serikali imewapa maeneno wanataka nini tena waende Tanga kuna ardhi nzuri yenye rutuba na ekari 2 hadi 3 wanapewa na kiasi cha 10 milion kwa nn wana ng'angania huko kwenye ziki na wanaliwa na wanyama pori
 
Nani yupo nyuma ya mpango huu muovu wa kujichafua nchi yetu kama sio chadema kwa nn mnatumika kwa shilingi ardhi lile wamasai waache ecosystem haipo balance kesho kutwa mbuga zetu zitakuwaje mnawaza haya?
 
Hili ndilo limefanya taifa zima kuwa na mazuzu. Sijui kwanini Nyerere alituwekea mfumo wa kuabudu CCM na kuifanya kama ndio alfa na omega.
Punda aliyezoea kufungwa kamba hata siku kamba ikiondolewa bado hubaki pale pale akidhani bado amefungwa. Watanzania wengi wanafikiri bila ccm hakutakuwa na serikali Ujinga mkubwa mno huu!
 
Narudia kusema tusipopiga kelele land alienation iliyotokea Africa kusini na Zimbabwe itajirudia Tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…