Wananchi wa Ngorongoro ambao tuliambiwa wamekubali kuama kwa hiari leo hii wametoa onyo kali kwa serikali. Hii ni baada ya serikali kutuma kikosi cha FFU na polisi kwenda kuzima maandamano yao ya kudai haki yao ya ardhi.
Pia ikimbukwe kuwa serikali baada ya kuona wakazi wa Ngorongoro hawataki kuama, imelazimika kufunga huduma nyingi za kijamii.
Nami nitoe tahadhari tu kwa serikali kuwa, kila jambo la maendeleo lazima lianze kwa kumuangalia mwananchi (well being). Huo ndiyo ubinadamu (utu au humanity). Kufunga huduma za kijamii ni hatua mbaya ambayo serikali yoyote ile inaweza kuchukua dhidi ya wananchi wake.
Jamii ya kimasai ni jamii ambayo bado ina social structure yenye nguvu sana na ujasili wa hali ya juu.
Hapa watu wakishupaza shingo, soon damu itamwagika kama mwaka jana tena.
Busara itumike.
Mwananchi kwanza, mengine baadaye.