Tetesi: Mambo yanazidi kuwa mambo! Hata Baraza la Mawaziri kuvunjwa kuunda jingine!

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Huyu anayekaa kabisa na Samia pembeni kabisa anathibitisha kwamba kashachanganyikiwa

Mwigulu na Baraza zima pia wanatemwa anaunda linguine kabla ya mwaka kuisha, kuna sababu kaniambia Ila ngoja kwanza watolewe ndo ntaziweka wazi.

Kumbuka ni TETESI

The catastrophic consequences of the global political crisis

Britanicca
 
FB_IMG_1786112820379.jpg
 
Chai
 
Au ni Ile TEC ya juzi?
 
Mkuu hua unawachukuliaje wanaJF wanaokusoma??
Hunaga tofauti na Parabora

Toka ulivyotupiga kamba hapa siwezi kuamini chochote unachoandika na mara nyingi 90% ya story zako hua ni kamba tupu.
 
Back
Top Bottom