Tetesi: Mambo yanazidi kuwa mambo! Hata Baraza la Mawaziri kuvunjwa kuunda jingine!

Hii ni konekisheni na Tetesi yenye Mantiki kubwa.Hili linategemewa sana ...na Kiuhalisia na Mazingira ya kawaida..ni ngumu kutenganisha Kujiuzulu kwa Makamu wa Raisi na Kuanguka kwa Serikali yote..
Makando kando yake ni lazima yamebaki ndani ya Mfumo wao waliojijengea..ni lazima tu -Masako Uendeleeee-
 
Huyu anayekaa kabisa na Samia pembeni kabisa anathibitisha kwamba kashachanganyikiwa

Mwigulu na Baraza zima pia wanatemwa anaunda linguine kabla ya mwaka kuisha, kuna sababu kaniambia Ila ngoja kwanza watolewe ndo ntaziweka wazi.

Kumbuka ni TETESI

The catastrophic consequences of the global political crisis

Britanicca
Kama ile barua ilioandikwa
 
Hakika Mungu ni zaidi ya chochote,mwenye kuamini ananguvu sababu ya vyeo,majeshi,fedha,sofa na chochote,hakika anajilisha upepo.
 
Huyu anayekaa kabisa na Samia pembeni kabisa anathibitisha kwamba kashachanganyikiwa

Mwigulu na Baraza zima pia wanatemwa anaunda linguine kabla ya mwaka kuisha, kuna sababu kaniambia Ila ngoja kwanza watolewe ndo ntaziweka wazi.

Kumbuka ni TETESI

The catastrophic consequences of the global political crisis

Britanicca
Kwenye Uzi wa jemedari wa marekani ,mwandishi anauliza;-

"Mbona kitabu Bado!!?hajastaafu hata!!?

Anajibiwa;-

Stop!!

Taarifa zinatoka juu kurudi chini!!

Sasa huko juu ni wapi!!?

Ni huko siasa za kimataifa "global politics "Toka Kwa mabeberu yanayoparuana yenyewe

America and co vs Russia and Co!!?

Sasa!?

Je nchimbi kujiuzulu,inamaanisha Russia and co wameshinda au bado game mbichi!!?

Atakaeteuliwa namba mbili tutapata picha halisi!

Kazi na utu,ni mbele tunasonga sisi!!
 
Back
Top Bottom