Tetesi: Mambo yanazidi kuwa mambo! Hata Baraza la Mawaziri kuvunjwa kuunda jingine!

Huyu anayekaa kabisa na Samia pembeni kabisa anathibitisha kwamba kashachanganyikiwa

Mwigulu na Baraza zima pia wanatemwa anaunda linguine kabla ya mwaka kuisha, kuna sababu kaniambia Ila ngoja kwanza watolewe ndo ntaziweka wazi.

Kumbuka ni TETESI

The catastrophic consequences of the global political crisis

Britanicca
Vipi Emmanuel Nchimbi kuhamia Chadema lengo ni kwenda kukiua?????
 
Aliyasema hayo wapi wakuu, acheni kutulisha matango pori, 2011 n juzi tuu hapo lazima pangekuwa na video au audio ila mpaka sasa mnapost vipicha tuu
Umezaliwa mwaka gani wewe?!🤔 2011 simu ya maana ilikuwa ni blackberry smartphones hizi za leo zilikuwa bado, mtandaoni ambao ulikuwa juu ni Facebook na haukuwa active kihivyo katika kushare taarifa. By then taarifa na umbea ulikuwa unapitia magazeti ya udaku Shigongo ndio alikuwa TikTok au Instagram kwa wakati huo ili kupata umbea lastest ni hadi upate magazeti yake.

So sijajua kama una ufahamu na mazingira ya mwaka 2011 yalikuwaje mzee.

Ila ni kweli huo utabiri wa sheikh Yahaya ulifanyika na nakumbuka kabisa ulikuwa katika magazeti ya nyakati hizo. Ila haukupewa sana uzito kwasababu ni kawaida yake kutabiri vitu na vinaweza kutokutokea au kutokea nusu au vitokee 100%.

Sasa kama unabisha nakushauri uende maktaba katafute magazeti ya mwaka 2011 utajionea kwenye kurasa zake hii tabiri ya sheikh Yahaya ilikuwapo na magazeti mengi yaliandika.
 
Taarabu nyingi mpaka sijasoma yote, ila unaongea kitu ambacho mm sijasema.

Wapi nmeongelea smartphone na mitandao ya kijamii? Acha kunilisha maneno yako.

Mm nimesema video au audio, kwahy ww kwa akili yako video na audio zinakaa kwenye smart na social media tuu?

OK, sema hayo maneno aliyasema akiwa wapi.
 
Huyu anayekaa kabisa na Samia pembeni kabisa anathibitisha kwamba kashachanganyikiwa

Mwigulu na Baraza zima pia wanatemwa anaunda linguine kabla ya mwaka kuisha, kuna sababu kaniambia Ila ngoja kwanza watolewe ndo ntaziweka wazi.

Kumbuka ni TETESI

The catastrophic consequences of the global political crisis

Britanicca
Bibi àapotezea nchi muda kweli kweli

Manaa hamna anchofanya drama mwanzo mwisho

Huyu bibi kizee kazi anayo
 
Huyu mama ana sura nzuri sana. Tabasamu lake linaweza fanya wafuasi wa Heche wakatamka "Yericko Nyerere ni bwana na mwokozi wa maisha yao"..
Acha kujisifia ujinga basi bi mdashi. Wewe na Delilah wa kwenye Biblia tofauti yenu ipo kwenye majina tu.
 
Back
Top Bottom