Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Inasemekana baraza la mawaziri lijalo litakuwa la wazanzibari wote ili kuikomoa tanganyika
Who this guys??
MWigu akipewa u VP ata laani maana atakua kapunguziwa nguvu . Bongo Pm ana power kuliko VP
Kashaanza kushtukia kuwa kutakuwa na mtifuano baaddhi ya kutokua na imani naeHuyu anayekaa kabisa na Samia pembeni kabisa anathibitisha kwamba kashachanganyikiwa
Mwigulu na Baraza zima pia wanatemwa anaunda linguine kabla ya mwaka kuisha, kuna sababu kaniambia Ila ngoja kwanza watolewe ndo ntaziweka wazi.
Kumbuka ni TETESI
The catastrophic consequences of the global political crisis
Britanicca
Jipya litoke wapi?Hii timing ya kabla ya mwaka kuisha imekaa kimkakati sana. Ni kama wanataka kuanza mwaka mpya na clean slate. Ila swali langu ni moja tu, hawa wapya watakaokuja watakuwa na jipya au ni same old wine in a new bottle?
ANGALIA USIJIVUNJIE HESHIMA YAKO JUKWAANI. TETESI ZINGINE YOU JUST IGNORE TO MAINTAIN YOUR DIGNITYHuyu anayekaa kabisa na Samia pembeni kabisa anathibitisha kwamba kashachanganyikiwa
Mwigulu na Baraza zima pia wanatemwa anaunda linguine kabla ya mwaka kuisha, kuna sababu kaniambia Ila ngoja kwanza watolewe ndo ntaziweka wazi.
Kumbuka ni TETESI
The catastrophic consequences of the global political crisis
Britanicca
KUchaji simuPower ya nini?
Kuna mtu naye kanambia hiki kitu.Huyu anayekaa kabisa na Samia pembeni kabisa anathibitisha kwamba kashachanganyikiwa
Mwigulu na Baraza zima pia wanatemwa anaunda linguine kabla ya mwaka kuisha, kuna sababu kaniambia Ila ngoja kwanza watolewe ndo ntaziweka wazi.
Kumbuka ni TETESI
The catastrophic consequences of the global political crisis
Britanicca
Rais wa mawe,,Ivi huyo Nchemba ndo yule rais wa Iramba?
Mara paap, Stive Nyerere MakamuHii ni konekisheni na Tetesi yenye Mantiki kubwa.Hili linategemewa sana ...na Kiuhalisia na Mazingira ya kawaida..ni ngumu kutenganisha Kujiuzulu kwa Makamu wa Raisi na Kuanguka kwa Serikali yote..
Makando kando yake ni lazima yamebaki ndani ya Mfumo wao waliojijengea..ni lazima tu -Masako Uendeleeee-
Aliyasema hayo wapi wakuu, acheni kutulisha matango pori, 2011 n juzi tuu hapo lazima pangekuwa na video au audio ila mpaka sasa mnapost vipicha tuu