Tetesi: Mambo yanazidi kuwa mambo! Hata Baraza la Mawaziri kuvunjwa kuunda jingine!

Mbona hili la barua alilisema na kweli imekua!
 
CCM kumejaa maboya matupu, wamesapoti ujinga wa hili limama sana, sasa limeanza kuwanywa damu ndani kwa ndani,wote wanaishi na kula kwa favor na huruma za hili dikteta, walifikiri wapinzani ndio peke yao wataumia na bila aibu na kiburi wakatuambia haki sio muhimu, what a waste and fuh king way to live your life,wavune walichopanda, sisi tunataka katiba mpya to fix huu uozo na tutaendelea kuipigania
 
Baraza haramu, rais haramu, makamu haramu amejivua uharamu.

Tunataka uchaguzi huru na wa haki haramu NO

Matakataka yote hayo yamejaa damu za October 29 hii hatuwezi kusahau wala kusamehe.

Haijaisha hadi iishe kuna watu nawahakikishia wajukuu wao au kama sio wao miaka 5 ijayo wataomba hifadhi nje za nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…