Wasafi ni akina nani?Mwanzoni ilikuwa "wote wachafu, hatuwataki"
Ilipofika "kuna wasafi kati yao, tutawachagua"..
Ikimaanisha Chama kipo salama
Ni kweli kabisa VP ni kutembea na mkasi tuMWigu akipewa u VP ata laani maana atakua kapunguziwa nguvu . Bongo Pm ana power kuliko VP
Tu save hii commentNext week tunapata PM mpya hapa kama siyo weekend hii
NoSaa mbovu kuna muda inasema ukweli
Mzee aina ya Wasira au Butiku, ambao hawana faida kwa TaifaView attachment 3656793
BADO CCM TUNA WAZEE KIBAO. HAWA WAZEE NILIWAPIGA PICHA KWENYE HARAKATI. SO CCM INA WATU KAMA WOTE. TUACHE POROJO ZA KORIDONI. MTU YOYOTE SAA YOYOTE ANAWEZA NYANYULIWA
Kama ile barua ilioandikwaHuyu anayekaa kabisa na Samia pembeni kabisa anathibitisha kwamba kashachanganyikiwa
Mwigulu na Baraza zima pia wanatemwa anaunda linguine kabla ya mwaka kuisha, kuna sababu kaniambia Ila ngoja kwanza watolewe ndo ntaziweka wazi.
Kumbuka ni TETESI
The catastrophic consequences of the global political crisis
Britanicca
Hakika Mungu ni zaidi ya chochote,mwenye kuamini ananguvu sababu ya vyeo,majeshi,fedha,sofa na chochote,hakika anajilisha upepo.Huyu anayekaa kabisa na Samia pembeni kabisa anathibitisha kwamba kashachanganyikiwa
Mwigulu na Baraza zima pia wanatemwa anaunda linguine kabla ya mwaka kuisha, kuna sababu kaniambia Ila ngoja kwanza watolewe ndo ntaziweka wazi.
Kumbuka ni TETESI
The catastrophic consequences of the global political crisis
Britanicca
ComedianMakongoro Nyerere makamu wa Rais
Labda hujamfuatilia muda mrefu. Ana fix nyingi huyu na yule wa kuitwa Yoga waongo hao. Wanatunga stori kutokana na matukioNo
Mengi aliyosema yanekua bwana 😅
Kwenye Uzi wa jemedari wa marekani ,mwandishi anauliza;-Huyu anayekaa kabisa na Samia pembeni kabisa anathibitisha kwamba kashachanganyikiwa
Mwigulu na Baraza zima pia wanatemwa anaunda linguine kabla ya mwaka kuisha, kuna sababu kaniambia Ila ngoja kwanza watolewe ndo ntaziweka wazi.
Kumbuka ni TETESI
The catastrophic consequences of the global political crisis
Britanicca
Kiko salama kwakoMwanzoni ilikuwa "wote wachafu, hatuwataki"
Ilipofika "kuna wasafi kati yao, tutawachagua"..
Ikimaanisha Chama kipo salama
ChaiChai
Nadhani wanajadili sio kufurahia.wabongo wajinga sana, yaani mnafurahia vyeo uchwara