Tetesi: Mambo yanazidi kuwa mambo! Hata Baraza la Mawaziri kuvunjwa kuunda jingine!

Kashaanza kushtukia kuwa kutakuwa na mtifuano baaddhi ya kutokua na imani nae
 
Wanakula walichopanda, zile kauli zao za mama katoa pesa oooh mama katoa maharage, haki sio muhimu kama amani, maandamano ni vurugu tuu, Lisu mhaini etc sasa dikteta linawanywa damu wenyewe linavyotaka kuanzia waziri mkuu, spika na sasa makamu wa raisi wote kawaondoa na limeua mpaka polepole aliyekuwa mtu mkubwa sana, CCM mtakula matapishi yenu na kati yenu hakuna aliye salama mkisema chochote asichopenda ni kifo au kudhalilishwa na kufanywa maskini,maisha ya kujipendekeza na uwongo uwongo ndio wanayoishi sasa wana CCM
 
ANGALIA USIJIVUNJIE HESHIMA YAKO JUKWAANI. TETESI ZINGINE YOU JUST IGNORE TO MAINTAIN YOUR DIGNITY
 
Hadi sasa

Desert mission 1 vs 2 operation yuda

Natokeo yanasomeka!

Operation yuda imefanikiwa Hadi sasa, pressure imepigwa Hadi yuda kaamua ajiondoe kwenye mtanange coz aliona anapoteza game!

Ngoja tuone kama washindi hawa hawatoacha nyufa ambazo zitamrudisha team yuda mchezoni!!
 
Kuna mtu naye kanambia hiki kitu.

Ngoja inyeshe
 
Mara paap, Stive Nyerere Makamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…