Mambosasa ajibu maswali ya Rais Magufuli kuhusu kutekwa Mo Dewji

Ha ha, naandika nafuta.....Mambosasa kwanini ulionekana ukinywa chai na mtekwaji, tena mkiwa mnacheka....lazima tukuhamishie Nachingwea ukawe OCD.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujua kitu cha kusema, wakati sahihi na namna ya kukisema ni taaluma muhimu sana.
Sasa kama kuna wakubwa zake anapopaita huko juu, si wao ndio wangejibu hizo tuhuma za mkuu? Vinginevyo kama aliulizwa yeye binafsi.
 
Yale Yale ya "maagizo kutoka juu"

Ila kamanda issue ilikuwa ni communication iliyojaa uwongo mweupe kabisa. ....hiyo ndio hasa hoja ya JP..... issue ya mafile ni nyingine kabisa.....
Unadhani watanzania wote ni wajinga hivo??...jibu swali
 
Na asipokua makini watambebesha na huo msalaba kwa maana yeye ndo alikua RPC kipindi hicho
Nayeye Amwage Mboga...ndio uje Albadiri huchukua hata Ten years
 
kuanzia baba mwenye nyumba wote wanafiki tu wanajuana
 
Mmmmh anamjibu amiri jeshi mkuu? Haya sawa
 
Kiofisi ni vizuri boss au junior kuwasiliana kiofisi kulikoni kujibizana au kutuhumiana hadharani .Naona kuna kitu hakiko sawa.Public sio ofisi.Mafaili yapo boss aandike junior ajibu.Haya mambo ya kuanikana hadharani na kujibizana hadharani kati ya mabosi na ma subordinate wao ni ukosefu wa nidhamu za kiofisi na lazima ukataliwe usiote mizizi . Taratibu za mawasiliano ya kiofisi yaheshimiwe na yatumike kwa wote mabosi na juniors.Kitu haliko sawa uliza kiofisi ujibiwe na junior kama kuna kitu hukioni sawa kiekezee kiofisi.Ndio maana vyuo vyote hufundisha business communication kwa kozi zote za sayansi na Arts ili zitumike zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…