Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiofisi ni vizuri boss au junior kuwasiliana kiofisi kulikoni kujibizana au kutuhumiana hadharani .Naona kuna kuna kitu haliko sawa.Public sio ofisi.Mafaili yapo boss aandike junior ajibu.Haya mambo ya kuanikana hadharani na kujibizana hadharani kati ya mabosi na ma subordinate wao ni ukosefu wa nidhamu za kiofisi na lazima ukataliwe usiote mizizi . Taratibu za mawasiliano ya kiofisi yaheshimiwe na yatumike kwa wote mabosi na juniors.Kitu haliko sawa uliza kiofisi ujibiwe na junior kama kuna kitu hukioni sawa kiekezee kiofisi.Ndio maana vyuo vyote hufundisha business communication kwa kozi zote za sayansi na Arts ili zitumike zaidi
Ndio tatizo badala ya kujenga taasisis wewe una kalia kujijenga binafsi tu huku unawafanya walio chini yako kuwa ndio hawana maana kumbe tatizo ni wewe!!!hilo lilikuwa sio jambo la kulalaimkia mbele za watu wakati kila kitu unacho wewe!!
Kwetu sisi wataalam wa Lugha na itifaki za Kiserikali, kauli ya mambo sasa ni utovu wa nidhamu si tu kwa Mkuu wa nchi Bali kwa Amiri Jeshi Mkuu.
Mambo sasa alipaswa kusema "maneno yaliyosemwa na Mkuu ya nchi si ya kupuuzwa bali yanapasa kitutafakarisha kama kuna sehemu tumekosea au tulikosea tujisahihishe". Hiyo ingekuwa kauli ya Afisa wa Jeshi kwa amiri Jeshi Mkuu.
Otherwise Mambosasa anapaswa kuchukuliwa hatua stahiki, tusubiri tuone!
Sent using Jamii Forums mobile app
huwezi ukawa kiongozi bora kwa kujijenga wewe kupitia kuharibu wenzako huku ukijua kabisa mchezo mzima!!nani hajui kuwa jiwe ripoti nzima ya tukio hilo analo?kwanini aseme vile?one man show
TUMBUA MAMBOSASA, HANA NIDHAMU, anawezaje kumjibu mkuu wa nchi hadharani hivyo halafu kihuni.. Protoka ilimtaka aende kwa bosi wake Sirro akamwambie alipoishia halafu akae kimya, TUMBUA MAMBOSASA HANA NIDHAMU..
Yote unayotarajia Mambosasa ayazungumzie yako kwenye jalada alilokwisha kabidhi kwa DCI. Akithubutu kujibu hoja za rais kama Rais alizitoa atakuwa nakiuka ethics za kiintelegensia. Tusubiri DCI afanye kazi yake!Kwa hiyo rais hayupo informed? By the way kuna mambo ambayo Mambosasa hajaya ongelea ambayo rais aliya lalamikia.
1. Mazingira ya upatikanaji ya mtekwaji
2. Mambosasa kuonekana anakunywa chai na mtekwaji.
Taarifa kama hii nani ataelewa ?Siku chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kuibua maswali juu ya tukio la kutekwa Mfanyabiashara Mohamed Dewji Kamanda wa Polisi Dar es salaam Lazaro Mambosasa amejitokeza na kusema yeye alishamaliza kazi yake.
Mambosasa amesema baada ya yeye kumaliza kazi yake alikabidhi kwa viongozi wake wa juu na kwa sasa wanaojua kinachoendelea ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) ambaye anatakiwa kutoa taarifa za uchunguzi zilizowasilishwa kwake.
Mambosasa amesema, “kuhusu maelekezo ya Rais aliyoyatoa kuhusu kutekwa kwa Mo, maadamu aliyatoa mbele ya Mkuu wetu wa Jeshi la Polisi na DCI ambao walikuwepo, jalada hilo lilishafika kwao, huko ndiko wanakojua kinachoendelea".
“Mimi jukumu langu lilishakwisha kwa hiyo ni suala la maamuzi ya juu kuhusu hatua zilizofikiwa kwenye jalada hilo", ameongeza Kamanda Mambosasa.
Mapema juzi Ikulu akiwaapisha Makamshna wa juu wa Jeshi la Polisi, Rais Magufuli alisema, "Jeshi la Polisi linatakiwa kuelewa kuwa Watanzania sio wajinga, kama suala la kutekwa kwa Mo Dewji linaacha maswali, tuliambiwa alitekwa na wazungu lakini lilipoisha haikueleweka, mwishoni aliyetekwa alionekana anakunywa chai na Mambosasa."
Zirro kashatia jalada kwenye dustbin.Siku chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kuibua maswali juu ya tukio la kutekwa Mfanyabiashara Mohamed Dewji Kamanda wa Polisi Dar es salaam Lazaro Mambosasa amejitokeza na kusema yeye alishamaliza kazi yake.
Mambosasa amesema baada ya yeye kumaliza kazi yake alikabidhi kwa viongozi wake wa juu na kwa sasa wanaojua kinachoendelea ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) ambaye anatakiwa kutoa taarifa za uchunguzi zilizowasilishwa kwake.
Mambosasa amesema, “kuhusu maelekezo ya Rais aliyoyatoa kuhusu kutekwa kwa Mo, maadamu aliyatoa mbele ya Mkuu wetu wa Jeshi la Polisi na DCI ambao walikuwepo, jalada hilo lilishafika kwao, huko ndiko wanakojua kinachoendelea".
“Mimi jukumu langu lilishakwisha kwa hiyo ni suala la maamuzi ya juu kuhusu hatua zilizofikiwa kwenye jalada hilo", ameongeza Kamanda Mambosasa.
Mapema juzi Ikulu akiwaapisha Makamshna wa juu wa Jeshi la Polisi, Rais Magufuli alisema, "Jeshi la Polisi linatakiwa kuelewa kuwa Watanzania sio wajinga, kama suala la kutekwa kwa Mo Dewji linaacha maswali, tuliambiwa alitekwa na wazungu lakini lilipoisha haikueleweka, mwishoni aliyetekwa alionekana anakunywa chai na Mambosasa."
Chuo kipi hicho kinafundisha "Business communication" ? Kwa masomo ya Arts na Sayansi ?Kiofisi ni vizuri boss au junior kuwasiliana kiofisi kulikoni kujibizana au kutuhumiana hadharani .Naona kuna kitu hakiko sawa.Public sio ofisi.Mafaili yapo boss aandike junior ajibu.Haya mambo ya kuanikana hadharani na kujibizana hadharani kati ya mabosi na ma subordinate wao ni ukosefu wa nidhamu za kiofisi na lazima ukataliwe usiote mizizi . Taratibu za mawasiliano ya kiofisi yaheshimiwe na yatumike kwa wote mabosi na juniors.Kitu haliko sawa uliza kiofisi ujibiwe na junior kama kuna kitu hukioni sawa kiekezee kiofisi.Ndio maana vyuo vyote hufundisha business communication kwa kozi zote za sayansi na Arts ili zitumike zaidi
Kiofisi ni vizuri boss au junior kuwasiliana kiofisi kulikoni kujibizana au kutuhumiana hadharani .Naona kuna kitu hakiko sawa.Public sio ofisi.Mafaili yapo boss aandike junior ajibu.Haya mambo ya kuanikana hadharani na kujibizana hadharani kati ya mabosi na ma subordinate wao ni ukosefu wa nidhamu za kiofisi na lazima ukataliwe usiote mizizi . Taratibu za mawasiliano ya kiofisi yaheshimiwe na yatumike kwa wote mabosi na juniors.Kitu haliko sawa uliza kiofisi ujibiwe na junior kama kuna kitu hukioni sawa kiekezee kiofisi.Ndio maana vyuo vyote hufundisha business communication kwa kozi zote za sayansi na Arts ili zitumike zaidi