Mambosasa ajibu maswali ya Rais Magufuli kuhusu kutekwa Mo Dewji

Wanapenda sana japo zinawakataa wamtafute Steve Nyerere
 
Jiwe na vibaka wake wanaelewa yote tangu mipango inapangwa ya utekaji, uuaji, utesaji na uvunjifu wa haki za binadamu ndani ya nchi hii!

Wasituone sisi ni wajinga.
 
huwezi ukawa kiongozi bora kwa kujijenga wewe kupitia kuharibu wenzako huku ukijua kabisa mchezo mzima!!nani hajui kuwa jiwe ripoti nzima ya tukio hilo analo?kwanini aseme vile?one man show
Sasa kama anayo, unataka aendelee kuamini porojo za mamboleo?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Ingawa najua j.iwe na mambosasa wanacheza muvi waliyoipanga ila huyu mambozamani hana adabu hata kidogo kwa bosi wake...jinga kabisa
 
Amesemea wapi?!
 
AIBU! Kwa hiyo anajibaraguza na kuropoka ropoka tu hadharani ili kurusha changa la macho wakati angeweza kumuuliza lugola kuhusu status ya kutekwa kwa MO.

 
TUMBUA MAMBOSASA, HANA NIDHAMU, anawezaje kumjibu mkuu wa nchi hadharani hivyo halafu kihuni.. Protoka ilimtaka aende kwa bosi wake Sirro akamwambie alipoishia halafu akae kimya, TUMBUA MAMBOSASA HANA NIDHAMU..
Sidhani na wala siamini kama ni.kweli kamanda anaendelea na.mjadala wakati kamanda mkuu kashafunga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambieni wapumzike tu,wasihangaike kutengeneza script nyengine ya hii movie. Watanzania tayari tulishapata picha ya kilichoendelea. Tunawasihi sana wasiendelee kutuona wajinga!
 
Ndio tatizo badala ya kujenga taasisis wewe una kalia kujijenga binafsi tu huku unawafanya walio chini yako kuwa ndio hawana maana kumbe tatizo ni wewe!!!hilo lilikuwa sio jambo la kulalaimkia mbele za watu wakati kila kitu unacho wewe!!
Sijaelewa kwamba unataka jpm ndio atoe taarifa ya kueleweka ili kuondoa mkanganyiko ye ndio polisi?Matendo mabaya yakitendeka mnakuja na ngojera za maagizo kutoka juu, huko juu wakija na majibu kuwahoji huku chini mnaanza kulalamika oooh one man show. Angehoji kimya kimya sijui tungejuaje na kuondoa dhana ya maagizo kutoka juu. Kutekwa na kupatikana kwa MO mlikuhusisha na jiwe leo jiwe anawahoji wateule wake, mnakuja juu tena.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Ni kweli mkuu, huyu amiri jeshi alijua fika kilichoendelea ila alitumia uamiri jeshi wake ili kuulinda uamiri jeshi wake ...
 
Old English saying ......"Every dog watches its tail...." Does it make sense to you?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay,hiyo MO saga imeshapata mbuzi wa kafara.Sasa ngoja tuone Lissu saga na yenyewe itaenda vipi ili kuwazubaisha wale wasiousoma mchezo kwa umakini unaostahili.
 
Anatetea kitumbua chake anajisafisha kwa rais

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…