Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanalalamika kama Malalamiko SC AKA Kolofive [emoji28]Yani narudia kusema, kama mpira ungekuwa unachezewa chumbani kuna watu wangretufunga kamba mno, ebu fikiria watu kama kina try again?
Sasa mpira wa Mamelodi, unahitajia nini kubebwa? Pale South Africa, timu gani ambayo walau inaisogelea kwa ubora? Timu ambayo inakalisha Afrika nzima na hamna mtu aliyenyanyua mdomo kupinga ushindi wao.
Hao acha warukeruke tu.
Makolokolo SC waliobebwabebwa dhidi ya Singida SC na kupata points 3 za kipumbavu.Hao mashabiki wasifikiri hizo changamoto zipo huko kwao tu, waje na huku kwenye nchi ya Kusadikika, ili wajionee wenyewe timu fulani hivi namna inavyobebwa waziwazi na rais wa shirikisho, pamoja na Bodi yake ya Ligi!
Yaani timu imepewa mpaka waamuzi maalum wa kuwasaidia kupata ushindi kwenye mechi mbalimbali kupitia magoli ya kuotea, kadi nyekundu zenye utata kwa wapinzania, nk.
2019 Barcelona alipindua matokeo dhidi ya PSG baada ya kupigwa 4 - 0 Ufaransa kisha Barcelona kushinda Nou Camp 6 - 1 hadi Refa alishushwa daraja la Europa badala ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE.Barcelona walikua bora,lakini pia walikua wakibebwa
Kawaida yao hao,walianza 20062019 Barcelona alipindua matokeo dhidi ya PSG baada ya kupigwa 4 - 0 Ufaransa kisha Barcelona kushinda Nou Camp 6 - 1 hadi Refa alishushwa daraja la Europa badala ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
Try again kaingiaje hapo?Yani narudia kusema, kama mpira ungekuwa unachezewa chumbani kuna watu wangretufunga kamba mno, ebu fikiria watu kama kina try again?
Sasa mpira wa Mamelodi, unahitajia nini kubebwa? Pale South Africa, timu gani ambayo walau inaisogelea kwa ubora? Timu ambayo inakalisha Afrika nzima na hamna mtu aliyenyanyua mdomo kupinga ushindi wao.
Hao acha warukeruke tu.
Mashabiki wa utopolo ndio namba moja kwa ulalamishi,kutojiamini na kutoamini matokeo ya uwanjaniHao ni kama Mashabiki wa Simba hao baada ya kula mkono wa nyani
Mwezi wa 9 Mamelodi alicheza dhidi ya Kaizer pamoja na Orlando ndani ya wiki moja, na wote walikandwa. Hii michezo ilichezeka ndani ya siku 3 yaani tar 20 na tar 23.Hao wanaolalamika ni mashabiki wa kaizer na Orlando ambayo ilishindwa kumfungwa Jwanengy Galaxy
Kwa Sasa Mamelody kawazidi mbali sana wao waendelee kupambania derby zao hadi pale watakaporudia uwekezaji mkubwa na kuacha na u gang wa soweto
Kutuambia Simba wanacheza vizuri kuliko Mamelodi na Wydad we unaona ni akili? Huyu kama tusingekuwa tunaona mpira kwa macho yetu wenyewe fikiria angetudanganya kiasi gani?Try again kaingiaje hapo?
Asee nyie utopolo mna wenge sana na tabia ya kutojiamini kabisa.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kwenye kuwaendeleza makocha tz imafeli pakubwa sana badala yake Kila nafasi anaenda TD Oscar mirambo ili akija apige hela za wanaotaka kujifunzaSasa unaona watu wenye plan na idea chanya
mgunda angeenda sevilla kujaza cv kipindi kile wanakaushirikiano sahv tungekua wapi
Wasauzi walifikiria mbali
Linaletwa li kocha kuongea kingereza shida unafkiri itakuwa rahisi kumuelewa kweli
Anyway big up kwa uongozi
Wamekata moto ukiangalia msimamo wa ligi msimu huu hali zao ni teteMwezi wa 9 Mamelodi alicheza dhidi ya Kaizer pamoja na Orlando ndani ya wiki moja, na wote walikandwa. Hii michezo ilichezeka ndani ya siku 3 yaani tar 20 na tar 23.
Hao Wasauzi waache ujinga wa kulia lia wakubali kwamba Mamelodi wapo njema ili wajijenge bila visababu vya kitoto. Wajaribu kujiuliza kama ni kweli Mamelodi wanapendelewa, Je wana ubora walionao Mamelodi kwa sasa?
Unasemaje mtu anapendelewa anabeba ubingwa wa ligi kuu mara 6 mfululizo ktk ligi yako? Mimi naaminigi ili ubebe ubingwa wa ligi kuu ni lazima uwe wa moto kwanza kabla hata ya kupendelewa. Ligi ni mbio ndefu unacheza na timu zote nyumbani na ugenini. Hata ubebwe vipi ukiwa na uwezo mdogo huwezi kutoboa.
Refer victim wa 1-5 kwa ' Nkapa' siku ya mvua nyingi.Mwezi wa 9 Mamelodi alicheza dhidi ya Kaizer pamoja na Orlando ndani ya wiki moja, na wote walikandwa. Hii michezo ilichezeka ndani ya siku 3 yaani tar 20 na tar 23.
Hao Wasauzi waache ujinga wa kulia lia wakubali kwamba Mamelodi wapo njema ili wajijenge bila visababu vya kitoto. Wajaribu kujiuliza kama ni kweli Mamelodi wanapendelewa, Je wana ubora walionao Mamelodi kwa sasa?
Unasemaje mtu anapendelewa anabeba ubingwa wa ligi kuu mara 6 mfululizo ktk ligi yako? Mimi naaminigi ili ubebe ubingwa wa ligi kuu ni lazima uwe wa moto kwanza kabla hata ya kupendelewa. Ligi ni mbio ndefu unacheza na timu zote nyumbani na ugenini. Hata ubebwe vipi ukiwa na uwezo mdogo huwezi kutoboa.
Na huwa wanafurahia kweli mwamuzi wa kati akiwa yule binti yao Tatu Malogo.Makolokolo SC waliobebwabebwa dhidi ya Singida SC na kupata points 3 za kipumbavu.
Hatari sana...
Hakuna kitu kama hicho.
Kilichopo on ground ni kwamba vigogo wa Afrika kusini pamoja na mashabiki wao wanachukizwa mno na maenedelo ya Mamelodi Sundowns.
Ndio maana wana piga kelele kusema wana pendelewa na kubebwa na hata ushiriki wa mamelodi katika African super league waliukubali kishingo upande kwa kusema utawafinyia ratiba yao ya ligi na kupeleka malalamiko SAFA wasishiriki.
Hakuna anaeitakia mema mamelodi South Africa kasoro mashabiki wao wachache na uongozi wao, wengine wote wanasubiri anguko waicheke.
Yeah, na hizo ndio timu zenye mashabiki wengi kule SauziHao wanaolalamika ni mashabiki wa kaizer na Orlando