Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mkuu wangu itakuaje sasa tar 30?Yani narudia kusema, kama mpira ungekuwa unachezewa chumbani kuna watu wangretufunga kamba mno, ebu fikiria watu kama kina try again?
Sasa mpira wa Mamelodi, unahitajia nini kubebwa? Pale South Africa, timu gani ambayo walau inaisogelea kwa ubora? Timu ambayo inakalisha Afrika nzima na hamna mtu aliyenyanyua mdomo kupinga ushindi wao.
Hao acha warukeruke tu.
Hukumbuki wakati Barcelona inapiga soka la kiwango cha dunia nyingine, kukawa na maneno mengi kuwa inapendelewa sana?Mamelodi sundowns analalamikiwa anabebwa sana na marefa na viongozi wa ligi PSL.
Africa ujanja ujanja kila sehemu
Rais wa CAF ndio mwenye timu. Hivyo Marefa wanataka wamfurahishe bosi ili awape upendeleo na wao
View attachment 2818270
Hukumbuki wakati Barcelona inapiga soka la kiwango cha dunia nyingine, kukawa na maneno mengi kuwa inapendelewa sana?
Ndivyo ilivyo kwenye soka, usiwaache washindani wako kwa gape kubwa la ubora. Huja lugha za kujifariji za kuwa 'anapendelewa'.
Ova
Mamelodi sundowns analalamikiwa anabebwa sana na marefa na viongozi wa ligi PSL.
Africa ujanja ujanja kila sehemu
Rais wa CAF ndio mwenye timu. Hivyo Marefa wanataka wamfurahishe bosi ili awape upendeleo na wao
View attachment 2818270
mamelodi hana gap lolote alilolawaacha wapinzani wake. mamelodi hamfikii Tp mazembe na hata enyimba kwa ubora zaidi ya kubebwa na marefa tu.
timu bora huwa haivai jezi yenye nyota moja. bali huwa inavaa jezi yenye manyota
Mamelodi anabebwa kweli nimeonaKwahiyo mkuu wangu itakuaje sasa tar 30?
Kumbe huu mchezo umeanza mbali aisee!
wamenikera kumbe ndio zao. sema fresh tutoke woteKumbe huu mchezo umeanza mbali aisee!
Malalamiko FC.Mamelodi sundowns analalamikiwa anabebwa sana na marefa na viongozi wa ligi PSL.
Africa ujanja ujanja kila sehemu
Rais wa CAF ndio mwenye timu. Hivyo Marefa wanataka wamfurahishe bosi ili awape upendeleo na wao
View attachment 2818270
Ni ujinga sana eti rais wa CAF ana timu
Hao wanaolalamika ni mashabiki wa kaizer na Orlando ambayo ilishindwa kumfungwa Jwanengy Galaxy
Kwa Sasa Mamelody kawazidi mbali sana wao waendelee kupambania derby zao hadi pale watakaporudia uwekezaji mkubwa na kuacha na u gang wa soweto
Mamelodi bingwa wa mabingwa useme anapendelewa nikuelewe, labda kwanza nilewe.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
ULIONA MBALI MKUU [emoji28][emoji28][emoji28]bila kubebwa na marefa mamelodi hamtoi yanga kwenye robo fainali