Mamelodi Sundown inapendelewa. Mashabiki wa ligi ya PSL Afrika Kusini wameanzisha petition

Mamelodi Sundown inapendelewa. Mashabiki wa ligi ya PSL Afrika Kusini wameanzisha petition

mamelodi hana gap lolote alilolawaacha wapinzani wake. mamelodi hamfikii Tp mazembe na hata enyimba kwa ubora zaidi ya kubebwa na marefa tu.

timu bora huwa haivai jezi yenye nyota moja. bali huwa inavaa jezi yenye manyota
JF ni encyclopedia, yote yamedhihirika bayana.
 
ngoja tuone mechi za mamelodi na yanga. timu nyingi zinalalamika mamelodi huwa anabebwa sana sababu rais wa caf ndie owner wa mamelodi, wanasema hata muda wa kucheza mechi anajipangia anavyotaka. hata jua kali hakataliwi kuchezaa home game zake.
Kilichotokea wote tumeiona.
 
Back
Top Bottom