Mamelodi Sundown inapendelewa. Mashabiki wa ligi ya PSL Afrika Kusini wameanzisha petition

Yanalalamika kama Malalamiko SC AKA Kolofive [emoji28]
 
Makolokolo SC waliobebwabebwa dhidi ya Singida SC na kupata points 3 za kipumbavu.
 
Barcelona walikua bora,lakini pia walikua wakibebwa
2019 Barcelona alipindua matokeo dhidi ya PSG baada ya kupigwa 4 - 0 Ufaransa kisha Barcelona kushinda Nou Camp 6 - 1 hadi Refa alishushwa daraja la Europa badala ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
 
Mamelodi walicheza mechi zote za super League bila ya uwepo wa strikers wake mpaka final ya 2 na waydad ndipo Peter shelulile kacheza . Bado wameweza kubeba ndoo kibabe,mechi na petro de Luanda second leg walikua pungufu kwa almost dakika 60 lakini petro hawakupata goli. Hii team inabebwa vipi?
 
Try again kaingiaje hapo?
Asee nyie utopolo mna wenge sana na tabia ya kutojiamini kabisa.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hao walioanzisha petition nisawa na hawa walikula mkono kwa Mkapa, badala ya kuangalia ubora wa timu yao wanatafuta mchawi, Mamelodi saizi wanatimu nzuri sana na wanacheza kwa kuburudisha
 
Hakuna kitu kama hicho.
Kilichopo on ground ni kwamba vigogo wa Afrika kusini pamoja na mashabiki wao wanachukizwa mno na maenedelo ya Mamelodi Sundowns.
Ndio maana wana piga kelele kusema wana pendelewa na kubebwa na hata ushiriki wa mamelodi katika African super league waliukubali kishingo upande kwa kusema utawafinyia ratiba yao ya ligi na kupeleka malalamiko SAFA wasishiriki.
Hakuna anaeitakia mema mamelodi South Africa kasoro mashabiki wao wachache na uongozi wao, wengine wote wanasubiri anguko waicheke.
 
Hao wanaolalamika ni mashabiki wa kaizer na Orlando ambayo ilishindwa kumfungwa Jwanengy Galaxy
Kwa Sasa Mamelody kawazidi mbali sana wao waendelee kupambania derby zao hadi pale watakaporudia uwekezaji mkubwa na kuacha na u gang wa soweto
Mwezi wa 9 Mamelodi alicheza dhidi ya Kaizer pamoja na Orlando ndani ya wiki moja, na wote walikandwa. Hii michezo ilichezeka ndani ya siku 3 yaani tar 20 na tar 23.

Hao Wasauzi waache ujinga wa kulia lia wakubali kwamba Mamelodi wapo njema ili wajijenge bila visababu vya kitoto. Wajaribu kujiuliza kama ni kweli Mamelodi wanapendelewa, Je wana ubora walionao Mamelodi kwa sasa?

Unasemaje mtu anapendelewa anabeba ubingwa wa ligi kuu mara 6 mfululizo ktk ligi yako? Mimi naaminigi ili ubebe ubingwa wa ligi kuu ni lazima uwe wa moto kwanza kabla hata ya kupendelewa. Ligi ni mbio ndefu unacheza na timu zote nyumbani na ugenini. Hata ubebwe vipi ukiwa na uwezo mdogo huwezi kutoboa.
 
Try again kaingiaje hapo?
Asee nyie utopolo mna wenge sana na tabia ya kutojiamini kabisa.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kutuambia Simba wanacheza vizuri kuliko Mamelodi na Wydad we unaona ni akili? Huyu kama tusingekuwa tunaona mpira kwa macho yetu wenyewe fikiria angetudanganya kiasi gani?

[emoji2772]
 
Kwenye kuwaendeleza makocha tz imafeli pakubwa sana badala yake Kila nafasi anaenda TD Oscar mirambo ili akija apige hela za wanaotaka kujifunza
Motsepe yuko serious na mpira sana na shida yake ni kuona hela kwa wachezaji na vilabu(refer speech yake)
Ndio maana kawaleta waarabu na hela zao na kazichukua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa Mamelody Ina uhakika wa msimu mzima kucheza kwa faida tu
 
Wamekata moto ukiangalia msimamo wa ligi msimu huu hali zao ni tete
Jambo ni Moja tu waendeshe team zao kisasa kwa kuwekeza kwenye benchi Bora na wachezaji wenye viwango ndio watafanya vizuri
 
Refer victim wa 1-5 kwa ' Nkapa' siku ya mvua nyingi.
 

ngoja tuone mechi za mamelodi na yanga. timu nyingi zinalalamika mamelodi huwa anabebwa sana sababu rais wa caf ndie owner wa mamelodi, wanasema hata muda wa kucheza mechi anajipangia anavyotaka. hata jua kali hakataliwi kuchezaa home game zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…