Mamelodi Sundowns wako Overrated

Mbaya zaidi wengi wao hata mpira hawaangalii ila nao wanafuata tu mkumbo na kusifia ujinga
 
Mwondoe Raja hapo maana hawezi akakutana na mnyama Robo fainali labda nusu fainali
 
Sawa mkuu
Sawa mkuu mtawatoa mamelod mkipangwa nao kwa ubora wa kikosi chenu sioni mamelod akivuka mbele yenu kikubwa ni kuendelea kumuheshimu Rage!
 
Ni bora ufiche ujinga wako, hujui mpira, Raja wanapangwa vipi na Simba wakati wapi kundi moja?
 
Sawa mkuu

Sawa mkuu mtawatoa mamelod mkipangwa nao kwa ubora wa kikosi chenu sioni mamelod akivuka mbele yenu kikubwa ni kuendelea kumuheshimu Rage!
Na kuuheshimu mpira kiujumla.
 
Mamelodi msimu uliopita alitolewa na petro ambaye kaishia makundi msimu huu
Ungekuwa kundi la petro ungetoboa mbele ya Wydad na Beloizdad? Waarabu wawili
 
Mechi za mamelody zote nmeangalia mpira walioucheza Cairo ungeuona usingeongea

Mechi zake na timu ya Al ahly tu ndio huwa factor ya kumpima mamelodi?

Mamelodi kwa sifa zake zote hizo amewai kutwaa ubingwa wa Caf mara ngapi ?

Na pia mamelodi amewai kufika nusu fainali mara ngapi ?

Tunaomb rekodi zake za kufika hizo stage caf za miaka yote toka timu ya mamelodi imeanzishwa mpaka leo ili tujue kama ni mkali ama yupo over rated.

Mamelodi amewai mfunga waydad ?

Mamelodi amewai mfunga esperence ?

Mamelodi amewai mfunga raja casablanca ?

Mfano mwaka huu Liverpool kamfunga man utd 7 - 0, ndio tuseme liverpool anatisha level ya kutwaa ubingwa sababu kamfunga utd goli 7
 
Al ahly na Mamelodi wana visasi vyao hivyo ni kawaida yao kukamiana..

Muulize haya maswali

Mamelodi kwa sifa zake zote hizo amewai kutwaa ubingwa wa Caf mara ngapi ?

Na pia mamelodi amewai kufika nusu fainali mara ngapi ?

Akikupa majibu utajua mamelodi yupo over rated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…