Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Hana mafanikio kivip nawakati mamelodi ana kombe la CAF ambalo simba hana., sasa hayo mafanikio unayoongelea ni yapiSimba hajawai kutwaa kombe la caf.
Hio haiondoi ukweli kwamba mamelodi hana mpira wala mafanikio kuliko wenzake waliiongoza makundi . Ambao ni esperence, waydad na raja casablanca..
Simba na mamelodi wamezidiana kidogo sana kimafanikio caf.. tofauti na simba alivyozidiwa mbali na esperence, raja, na waydad.
Ni sahihi simba kumtaka mamelodi maana ndio mnyonge kuliko hao wengine
Acha uzwazwa mwenzako ana makombe yote ya CAF champion na confederation alafu unasema mko sawa hio ni akili au matope