Mamelodi Sundowns wako Overrated

Mamelodi Sundowns wako Overrated

Simba hajawai kutwaa kombe la caf.

Hio haiondoi ukweli kwamba mamelodi hana mpira wala mafanikio kuliko wenzake waliiongoza makundi . Ambao ni esperence, waydad na raja casablanca..

Simba na mamelodi wamezidiana kidogo sana kimafanikio caf.. tofauti na simba alivyozidiwa mbali na esperence, raja, na waydad.

Ni sahihi simba kumtaka mamelodi maana ndio mnyonge kuliko hao wengine
Hana mafanikio kivip nawakati mamelodi ana kombe la CAF ambalo simba hana., sasa hayo mafanikio unayoongelea ni yapi

Acha uzwazwa mwenzako ana makombe yote ya CAF champion na confederation alafu unasema mko sawa hio ni akili au matope
 
Mamelodi kibongo bongo ana jina kubwa na anasifiwa na wachambuzi kuliko ubora wake katika michuano ya Africa.

Simba ana nafasi kubwa sana ya kupita akipangiwa Mamelodi.

Ila simba ana nafasi ndogo sana ya kupita kama akipangiwa Wydad , Esperence ama Raja Casablanca.
Timu zilizokuwa kundi moja huwa zinakutana Fainali sio robo wala nusu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mzee Chama atakuwa Mzee kwenye mechi za robo fainali!
 
Sio kwa wachezaji hawa ase, hawa kina Chama anaekimbia upande upande kama kachezewa spika?
Bora huyo anayekimbia upande upande kuliko yule anayekunja bukta linakuwa kama pampas kazi kutema mate hata la maana analofanya hamna..
 
Unaulizwa swali kabla hujalijibu, unauliza swali jipya.

Jibu la swali lako mamelodi alitolewa na petro kwenye hatua ya robo fainali
Aah shukrani nilidhani alifika nusu
 
Tema mate chini mkuu, Simba hii tutapigwa kama ngoma na mamelody

Binafsi namuomba esperance de tunis.
Mkuu,, Simba ni ya nane kwa viwango vya Caf barani africa, hivyo kama Giant huwezi kuhofia kukutana na Giant wengine wa Africa ni kujipanga tu,, Cha msingi Mo aweke mzigo wa kutosha tuongeze Quality kwenye kikosi,, Simba ni Giant kwa sasa Africa.
 
Hana mafanikio kivip nawakati mamelodi ana kombe la CAF ambalo simba hana., sasa hayo mafanikio unayoongelea ni yapi

Acha uzwazwa mwenzako ana makombe yote ya CAF champion na confederation alafu unasema mko sawa hio ni akili au matope
Mkuu Arsenal, Man city, Tottenham zote ni timu kubwa barani ulaya ila hawana kombe la Uefa,,..
 
.
Screenshot_2023_0221_184309.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom