maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Huyu jamaa ana mameneja watatu ila naona kwenye suala la personality wameshindwa kumshauri kabisa. Kwa muonekano wa mondi wa sasa ni either kajiingiza kwenye drugs au mambo ya kigasho..muda utasema tu.
Diamond wa leo karudi kwenye usela ule wa black Americans wa miaka ya 90 kuvaa manguo makubwa na kunesanesa, ambao kimsingi ndio muonekano wa mateja wa sasa na masela mavi wa leo.
Je, mameneja wake hawalioni hilo ukizingatia brand kubwa aliyonayo ukiacha licha ya yeye kuwa CEO?
Hapa chini ni picha za muonekano wa zamani na wa sasa