Ukisikia maskini wanawaongelea ma tajiri, wakati wote huwa wanawaombea mabaya!
Akili ya Mond, inaweka ugari kwenye kaya nyingi Sana kupitia ajira anazotoa, wewe hata kwenye mfumo wa ajira rasmi haupo, hata PAYE Kodi ya mshahara haulipi, lakini upo kuombea watu mabaya! Mie na vimilioni vyangu vichache, nikisikia watu ndugu wanavyonisema richa yq wengi kuwasaidia, inaleta msongo Sana, sasa fikiria Mond, dangote, Simba, jinsi, alivyo national figure kuliko hata waziri mkuu, atakuwa na msongo kiasi gani, ingekuwa ni nchi ya kidemokrasia, Mond anamashabiki wengi anaweza kushinda hata uraisi! Kama alivyoweza Gorge Weah Liberia, au Yule DJ wa Madagascar!, Mond ni kama Trump kwa huku k wetu,fikiria aingie kwenye kinyanganyiro cha uraisi kupitia kwa ACT wazalendo! Ikulu anaingia asubuh