Mameneja watatu ila personality ya Diamond Platnumz inashuka siku hadi siku

Hili swala naona kama Lina muhusu yeye sisi halituhusu
 
Huyo Jamaa inabidi apate mtu wa kumpiga brashi mawazo kichwani.
Bado ni jamaa wa Tandale, hana uwezo wa tungo za kushirikisha jamii kiutamaduni.
Nimepanda ndege Emirates na wamemuwekea angalizo, "listen at your own risk"
 
Napenda tu kuwakumbusha mwamba ana zaidi ya billioni moja kwenye thamani ya magari yake pale nyumba ya kupanga

Najua utaona jambo la ajabu mimi kusema hivi ila jaribu kufikiria mtu ana 1 billion tanzanian shillings imekaa parking lot

Upo kumjadili msanii mavazi really bro?
Really?
Nigga even if he walks naked his bank account acts like a suit

Halafu umeamua kuchukua picha moja moja alizovaa suti tu
Jamaa alivaa ovyo toka zamani sio kwamba ameanza leo

Ukiwa hater unakua hater tu
 
Tuwekee picha zote za mavazi zmani na picha zote unaita za mavazi ya sasahivi hapa


Mond anajua nini anafanya that why ujamuandika Bilnas hapa mond hana muonekano wa zamani na wasasa bali ana muonekano wa siku hio kaamua avaaje
 

Kwahiyo kwa sababu ana Bilion moja parking basi hatakiwi kuambiwa jambo lolote hata akikaa tako wazi[emoji16][emoji16].

Ana B moja shingoni pia ila akihama njia anaambiwa.wewe unamchukulia kama boss wako sisi huyu ni role model wa wadogo zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…