Hebu leta picha basi tuone hiyo hovyo hovyo alokua anavaa zamani kiasi cha kuzidi hivi sasa... Mbona simple tuNapenda tu kuwakumbusha mwamba ana zaidi ya billioni moja kwenye thamani ya magari yake pale nyumba ya kupanga
Najua utaona jambo la ajabu mimi kusema hivi ila jaribu kufikiria mtu ana 1 billion tanzanian shillings imekaa parking lot
Upo kumjadili msanii mavazi really bro?
Really?
Nigga even if he walks naked his bank account acts like a suit
Halafu umeamua kuchukua picha moja moja alizovaa suti tu
Jamaa alivaa ovyo toka zamani sio kwamba ameanza leo
Ukiwa hater unakua hater tu
Mfuatilie vizuri utaelewa nachomaanisha...yaani hadi anawaiga madogo wa juzi kina Asake wakati yeye ni level za kina Davido utasema anaejielewa huyo kama brand?Tuwekee picha zote za mavazi zmani na picha zote unaita za mavazi ya sasahivi hapa
Mond anajua nini anafanya that why ujamuandika Bilnas hapa mond hana muonekano wa zamani na wasasa bali ana muonekano wa siku hio kaamua avaaje
Bro fashion is infective ulitaka avae nini kipya mzee mbona hata huyo asake ameiga watu wengine au unahisi huo mtindo kaja nao yeye??Mfuatilie vizuri utaelewa nachomaanisha...yaani hadi anawaiga madogo wa juzi kina Asake wakati yeye ni level za kina Davido utasema anaejielewa huyo kama brand?
View attachment 2819018
Sio boss wangu naona uzi hauna mantiki and yes kama mtu anakaa uchi hajaingilia maisha yako sidhani its a matter ya wewe kuja kuongea humuKwahiyo kwa sababu ana Bilion moja parking basi hatakiwi kuambiwa jambo lolote hata akikaa tako wazi[emoji16][emoji16].
Ana B moja shingoni pia ila akihama njia anaambiwa.wewe unamchukulia kama boss wako sisi huyu ni role model wa wadogo zetu.
Sio boss wangu naona uzi hauna mantiki and yes kama mtu anakaa uchi hajaingilia maisha yako sidhani its a matter ya wewe kuja kuongea humu
Mtu sasa unajadili mwili wa msanii umekongoroka wtf bro [emoji2][emoji2][emoji2] watu washakimbilia kwenye unga sijui
90% humu huo unga wenyewe mnausikia tu na kuuona kwenye tv
Na wewe badala uattack mada ushaniattack mimi boss wangu diamond
Ushazoea kuendeshwa endeshwa unahisi kila mtu ana boss sio?[emoji16][emoji16][emoji16]
For reference ,☝️☝️☝️Hiko kibukta na miguu utasema spongebob square pants
Nimecheka sana asubui hii🤣🤣🤣🤣🤣For reference ,☝️☝️☝️
Katika ndege ya Emirates, ilikuwa Airbus 380, kuna music channel toka mabara yote duniani. Ilikuwa flight ya about 10hrs.Ulikaa siti namba ngapi na hilo bango limewekwa kwa wapi labda emu tutoe matongotongo zingatia namba ya siti 😆🤪
Ndio avae kishoga kisa anawalishaUkisikia maskini wanawaongelea ma tajiri, wakati wote huwa wanawaombea mabaya!
Akili ya Mond, inaweka ugari kwenye kaya nyingi Sana kupitia ajira anazotoa, wewe hata kwenye mfumo wa ajira rasmi haupo, hata PAYE Kodi ya mshahara haulipi, lakini upo kuombea watu mabaya! Mie na vimilioni vyangu vichache, nikisikia watu ndugu wanavyonisema richa yq wengi kuwasaidia, inaleta msongo Sana, sasa fikiria Mond, dangote, Simba, jinsi, alivyo national figure kuliko hata waziri mkuu, atakuwa na msongo kiasi gani, ingekuwa ni nchi ya kidemokrasia, Mond anamashabiki wengi anaweza kushinda hata uraisi! Kama alivyoweza Gorge Weah Liberia, au Yule DJ wa Madagascar!, Mond ni kama Trump kwa huku k wetu,fikiria aingie kwenye kinyanganyiro cha uraisi kupitia kwa ACT wazalendo! Ikulu anaingia asubuh
Koffi Alomide ndiye kamfundisha Kuvaa matakataka hivyo lakini tatizo na yeye akachanganya na zake matokeo ndo hayoWaswahili ndio wanavaa vitop mkuu?
Chibu ni teja kama sio shogaChibu yuko Vizuri
Foul language yaan jamaa anatumia lugha nne au anatumia lugha za faulo yaan kidogo kitupia tusi la chini chini au 🤪Artist Diamond is known to use foul language, listen at your own risk!
Kuna mjinga alikua ananipa ushauri eti kati ya Sigara na Bangi bora Bangi kuliko Sigara, nikamcheck wakati yeye havuti chochote kati ya hivyo alafu anajifanya bwana ushauri 🤪
Kuna mjinga alikua ananipa ushauri eti kati ya Sigara na Bangi bora Bangi kuliko Sigara, nikamcheck wakati yeye havuti chochote kati ya hivyo alafu anajifanya bwana ushauri
Life style ya mtandaoni, sio maisha halisi. Wasanii wanafanya kila namna ya kuendelea kujadiliwa, ambayo ni faida kwao.Mkuu huo muonekano wa kunesanesa upo hadi kwenye maisha yake ya kawaida au ni anapoonekana kwenye media