Hilo Kweli kabisa harafu watanzania hawana hata mawazo ya kutaka kuishi Kenya tena sio Kenya hata nchi zingine ni mara chache sana
Hahahaha, tulikataa kuja bila passport, mumeamua kutumia njia ya kujiandikisha kama wapiga kura ili muwe watanzania " by force". Hatutaki endeleeni kubaki kwenu kwenye njaa.Kw sababu ukienda kwengine maisha yatakupiga chenga...kw uvivu mlionao unafikiria ukija kenya utatoka ki biashara...haya hata elimu pia nchi gani utapewa kipaumbele kw elimu hyo yenu...uchapa kazi pia mtanzania amshinde mkenya....wivu si utaanza kuroga hku...
Hakuna raia wanaopigana Vita vya usiku na mchana ili wawe Watanzania kama raia wa Kenya
Ni kweli hata Mimi nilifanya nao kazi.Naongea kwa uzoefu, nimeshafanya kazi na wakenya sehemu mbalimbali, hawa jirani zetu kuishi nao ni kazi kubwa, ni wa binafsi sana pia wanafki, wana wivu, hata kama umemkaribisha yuko tayari akufitini ili ufukuzwe, (majority niliofanya nao kazi ila sio wote)
Naona CCM inajipanga vilivyo
Kila mahala mnaleta siasa,hivi unavyodhaninkama ungekua mpango wa ccm wangeguswa,hao wako kwenye tamaa yao tu ya kuchukua uraia wa Tanzania,labda huwajui wakenya mkuu
Hawi raia ila anakua amepiga hatua 1 mbele ya kupata uraia kwasababu huku TZ haramu kupiga kura mtu ambae sio mtanzania sasa unapopata kitambulisho cha kura inamaanisha nini hapoDuh mbona nchi yenu ovyo hivi, yaani mtu akijiandikisha kupiga kura anakua raia moja kwa moja.
Hahahaha, tulikataa kuja bila passport, mumeamua kutumia njia ya kujiandikisha kama wapiga kura ili muwe watanzania " by force". Hatutaki endeleeni kubaki kwenu kwenye njaa.
RAIA WA 100 KENYA WAKAMATWA MARA - Channel Ten
Zaidi ya watu mia moja Raia wa nchi ya kenya wamekamatwa wakijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwenye vituo mbalimbali katika mpaka wa kenya na Tanzania eneo la Sirari wilaya ya Tarime Mkoa wa Mara baada yaviongozi wa ccm kuwabaini wakikiuka sharia za nchi wannchama wa jumuiya...www.channelten.co.tz
Kukamatwa kwa mamia ya wakenya huko ktk mkoa wa Mara, Tanzania kutaka kujiandikisha kuwa wapiga kura, kunaweza kuwa na maana mbili.
1) Kutaka kuhalalisha kupata uraia wa Tanzania, ili kutoroka hali ngumu ya maisha inayowakumba wakenya ikiwa ni pamoja na njaa.
2) Watumike kama mamluki wa Jubilee kupigia kura CHADEMA kama ilivyotokea mwaka 2015 ambapo Jubilee ilipigia kampeni CHADEMA na CHADEMA kumuunga mkono Uhuru Kenyatta 2017.
Naongea kwa uzoefu, nimeshafanya kazi na wakenya sehemu mbalimbali, hawa jirani zetu kuishi nao ni kazi kubwa, ni wa binafsi sana pia wanafki, wana wivu, hata kama umemkaribisha yuko tayari akufitini ili ufukuzwe, (majority niliofanya nao kazi ila sio wote)
Mimi nikapata nafasi nachukua uraia wa Tz bila hata kufikiri Mara mbili najua nitachuma kwa shamba la Bibi niwe billionaire Kama Mo Dewji...It is very easy to make it in Tanzania especially in the business sector, watu huko wamelalia bongo zao Sana.
Ninahisi mama yako ndio mjinga na mpumbavu.Una tuhuma za kijinga sana!
Mipakani watu kuingiliana ni kawaida ila tuhuma ulizoweka hapo ni za kipumbavu sana!
Heri kurogana kuliko kufadhili ugaidi ili washambulie na kuwauwa raia wenu kwa misingi ya Ukabila.Mkenya gani mwnye wivu...heheeee...wivu tuliachia watanzania..halafu hapo kw fitina ndio usipataje kabisa...nyinyi ndo number moja...mpka mwisho mnarogana...
Naskia mpka ma star bongo wanarogana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kuiota Tanzania, kamwe haturuhusu mkenya kuja kutuambukiza ukabila, wizi, Rushwa na ukatili katika nchi yetu ya maziwa na asali.Mimi nikapata nafasi nachukua uraia wa Tz bila hata kufikiri Mara mbili najua nitachuma kwa shamba la Bibi niwe billionaire Kama Mo Dewji...It is very easy to make it in Tanzania especially in the business sector, watu huko wamelalia bongo zao Sana.
Ninahisi mama yako ndio mjinga na mpumbavu.
Angekua mwerevu asingekubali kumchanulia shoga, ukazaliwa wewe.Maana wewe ulitoka matako mwa baba yako?
Una mama na yeye mjinga kama wewe!
Kiuno wewe!
Angekua mwerevu asingekubali kumchanulia shoga, ukazaliwa wewe.
Next time uheshimu mawazo ya MTU, ukiona hukubaliani nayo, bora upotezee.Oh yeah???
Really?
Unataka ku-claim baba yako sio shoga pia?
Nyani haoni kundule!
Huko Mara huko, unakuta mtu ni mtanzania, kaajiriwa hapa,lakini mara kwa mara anawasiliana na nduguze waliopo Kenya na anawatumia fedha za matumizi. Ati shangazi yupo Kenya, ni mtanzania huyo kweli. Halafu wakiulizwa utasikia wanaonewa.Hakuna raia wanaopigana Vita vya usiku na mchana ili wawe Watanzania kama raia wa Kenya