Mamia ya raia wa Kenya wakamatwa wakijiandikisha kupiga kura Tanzania

Kw sababu ukienda kwengine maisha yatakupiga chenga...kw uvivu mlionao unafikiria ukija kenya utatoka ki biashara...haya hata elimu pia nchi gani utapewa kipaumbele kw elimu hyo yenu...uchapa kazi pia mtanzania amshinde mkenya....wivu si utaanza kuroga hku...
Hilo Kweli kabisa harafu watanzania hawana hata mawazo ya kutaka kuishi Kenya tena sio Kenya hata nchi zingine ni mara chache sana
 
Kw sababu ukienda kwengine maisha yatakupiga chenga...kw uvivu mlionao unafikiria ukija kenya utatoka ki biashara...haya hata elimu pia nchi gani utapewa kipaumbele kw elimu hyo yenu...uchapa kazi pia mtanzania amshinde mkenya....wivu si utaanza kuroga hku...
Hahahaha, tulikataa kuja bila passport, mumeamua kutumia njia ya kujiandikisha kama wapiga kura ili muwe watanzania " by force". Hatutaki endeleeni kubaki kwenu kwenye njaa.
 
Hakuna raia wanaopigana Vita vya usiku na mchana ili wawe Watanzania kama raia wa Kenya

Duh mbona nchi yenu ovyo hivi, yaani mtu akijiandikisha kupiga kura anakua raia moja kwa moja.
 
Naongea kwa uzoefu, nimeshafanya kazi na wakenya sehemu mbalimbali, hawa jirani zetu kuishi nao ni kazi kubwa, ni wa binafsi sana pia wanafki, wana wivu, hata kama umemkaribisha yuko tayari akufitini ili ufukuzwe, (majority niliofanya nao kazi ila sio wote)
Ni kweli hata Mimi nilifanya nao kazi.
Huwa wanatumia nguvu nyingi sana kwenye sehem za kupatia ridhiki.
Huwa hawajiamini bila kukuovertake.
 
Duh mbona nchi yenu ovyo hivi, yaani mtu akijiandikisha kupiga kura anakua raia moja kwa moja.
Hawi raia ila anakua amepiga hatua 1 mbele ya kupata uraia kwasababu huku TZ haramu kupiga kura mtu ambae sio mtanzania sasa unapopata kitambulisho cha kura inamaanisha nini hapo
 
Hela baba...wakimaliza wanrudi kwao hao
Hahahaha, tulikataa kuja bila passport, mumeamua kutumia njia ya kujiandikisha kama wapiga kura ili muwe watanzania " by force". Hatutaki endeleeni kubaki kwenu kwenye njaa.
 
Mimi nikapata nafasi nachukua uraia wa Tz bila hata kufikiri Mara mbili najua nitachuma kwa shamba la Bibi niwe billionaire Kama Mo Dewji...It is very easy to make it in Tanzania especially in the business sector, watu huko wamelalia bongo zao Sana.
 
Kukamatwa kwa mamia ya wakenya huko ktk mkoa wa Mara, Tanzania kutaka kujiandikisha kuwa wapiga kura, kunaweza kuwa na maana mbili.

1) Kutaka kuhalalisha kupata uraia wa Tanzania, ili kutoroka hali ngumu ya maisha inayowakumba wakenya ikiwa ni pamoja na njaa.

2) Watumike kama mamluki wa Jubilee kupigia kura CHADEMA kama ilivyotokea mwaka 2015 ambapo Jubilee ilipigia kampeni CHADEMA na CHADEMA kumuunga mkono Uhuru Kenyatta 2017.

Una tuhuma za kijinga sana!

Mipakani watu kuingiliana ni kawaida ila tuhuma ulizoweka hapo ni za kipumbavu sana!
 
Mkenya gani mwnye wivu...heheeee...wivu tuliachia watanzania..halafu hapo kw fitina ndio usipataje kabisa...nyinyi ndo number moja...mpka mwisho mnarogana...

Naskia mpka ma star bongo wanarogana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naongea kwa uzoefu, nimeshafanya kazi na wakenya sehemu mbalimbali, hawa jirani zetu kuishi nao ni kazi kubwa, ni wa binafsi sana pia wanafki, wana wivu, hata kama umemkaribisha yuko tayari akufitini ili ufukuzwe, (majority niliofanya nao kazi ila sio wote)
 
Safi kabisa...ndo manake wanaogopa kuenda kw nchi za wengine kisa hawapendi competition
Mimi nikapata nafasi nachukua uraia wa Tz bila hata kufikiri Mara mbili najua nitachuma kwa shamba la Bibi niwe billionaire Kama Mo Dewji...It is very easy to make it in Tanzania especially in the business sector, watu huko wamelalia bongo zao Sana.
 
Mkenya gani mwnye wivu...heheeee...wivu tuliachia watanzania..halafu hapo kw fitina ndio usipataje kabisa...nyinyi ndo number moja...mpka mwisho mnarogana...

Naskia mpka ma star bongo wanarogana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heri kurogana kuliko kufadhili ugaidi ili washambulie na kuwauwa raia wenu kwa misingi ya Ukabila.
 
Mimi nikapata nafasi nachukua uraia wa Tz bila hata kufikiri Mara mbili najua nitachuma kwa shamba la Bibi niwe billionaire Kama Mo Dewji...It is very easy to make it in Tanzania especially in the business sector, watu huko wamelalia bongo zao Sana.
Endelea kuiota Tanzania, kamwe haturuhusu mkenya kuja kutuambukiza ukabila, wizi, Rushwa na ukatili katika nchi yetu ya maziwa na asali.
 
Hawa manyang'au wanatia huruma sana. Ila siyo kwao tu hata sisi mbona tunapiga kura kwao.
 
Hakuna raia wanaopigana Vita vya usiku na mchana ili wawe Watanzania kama raia wa Kenya
Huko Mara huko, unakuta mtu ni mtanzania, kaajiriwa hapa,lakini mara kwa mara anawasiliana na nduguze waliopo Kenya na anawatumia fedha za matumizi. Ati shangazi yupo Kenya, ni mtanzania huyo kweli. Halafu wakiulizwa utasikia wanaonewa.
 
Back
Top Bottom