Mamia ya raia wa Kenya wakamatwa wakijiandikisha kupiga kura Tanzania

Mamia ya raia wa Kenya wakamatwa wakijiandikisha kupiga kura Tanzania

Ulevi ni wewe na jamii yenu yote. Kwa akili yako punguani yakibongo huezi jiuliza kwa nini mtoto wa primary school anatoka nchi moja jadi nyingine kwa ajili ya masomo? inasema nini kuhisu hiyo taifa yenye mtoto ametoka? na sio eti kuna vita humo
Umesoma ht concept ya migration we pumbafu???
Kapitie sababu za migration maana unaongea sana kilevi pambafu mmoja.
 
Wewe kwa ushamba wako wa kutotembea ndio unajua hutokea upande mmoja, nenda kule pwani katika County ya Kwale, kijiji cha Vanga, watoto huvuka mipaka na kusoma shule za Tanzania, kijiji cha Jasini, na wananchi wa Kenya huvuka kufuata hospital katika vijiji vya Tanzania.
Fala huyo hatumii akili.
Oman nchi ya kitajiri lakn inaleta watoto wao pia kuja Tz kusoma na kuishi kwasababu ya factors zao wanazozifaham km climate na kuwa elimu kule haijapewa kipaumbele.
Yeye anadhan kisa watoto wametoka Tz kwenda Kenya basi maisha mabovu ilhali wanafuata elimu tu na kurudi makwao.
Aende akawaulize je walitaka kuishi Kenya???
Halafu huko ni mipakan jambo hilo ni jepesi hata kule lake Nyasa wapo wamalawi wanavuka boarder kuja kuishi kwa muda kwa kutafuta elimu na riziki Tz.
Ila kwa ulevi wa huyo jamaa anabwabwaja tu.
 
Tatizo wa kwenu mpka wa dar huja kusomea kenya...huoni km elimu yenu ina matatizo...

Mtanzania mwenye uwezo wa kifedha na akili zilizokomaa...mtoto wake hawez somea tanzania..
Unachekesha ww.
Kumbuka kuna mitaala ya Cambridge huku.
Mtoto wa Tz alosomea Cambridge Almuntazir upanga huwez kumfananisha na fala yeyote alosomea Kenya.
Na sababu ya kufuata elimu ni ya kawaida.
Mm nataka mtueleze kindaki ndaki je hao wanafunzi walitaman kuishi kenya au walifata elimu tu na kurudi kwao???
Maana ht Waturuki hufuata elimu India ya udaktari nao tuseme wanataka kuishi India kwenye umaskini mwingi????!!!!!!
 
Mkuu kuna jamaa yangu mkenya alishaniomba nimfanyie mpango apate pasi ya Tanzania,kuna mwingine juzi kati tu kaniomba nimfanyie mpango anunue kiwanja bongo tena akaenda mbali zaidi yuko tayari hata kuoa dada wa kitanzania ili mradi tu atimize ndoto yake ya kuishi bongo!
Muunganishe na Shunie ili awe shemeji yetu
 
Unachekesha ww.
Kumbuka kuna mitaala ya Cambridge huku.
Mtoto wa Tz alosomea Cambridge Almuntazir upanga huwez kumfananisha na fala yeyote alosomea Kenya.
Na sababu ya kufuata elimu ni ya kawaida.
Mm nataka mtueleze kindaki ndaki je hao wanafunzi walitaman kuishi kenya au walifata elimu tu na kurudi kwao???
Maana ht Waturuki hufuata elimu India ya udaktari nao tuseme wanataka kuishi India kwenye umaskini mwingi????!!!!!!
Cambridge inakua na mtaala kwani ni nchi pia?.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kukamatwa kwa mamia ya wakenya huko ktk mkoa wa Mara, Tanzania kutaka kujiandikisha kuwa wapiga kura, kunaweza kuwa na maana mbili.

1) Kutaka kuhalalisha kupata uraia wa Tanzania, ili kutoroka hali ngumu ya maisha inayowakumba wakenya ikiwa ni pamoja na njaa.

2) Watumike kama mamluki wa Jubilee kupigia kura CHADEMA kama ilivyotokea mwaka 2015 ambapo Jubilee ilipigia kampeni CHADEMA na CHADEMA kumuunga mkono Uhuru Kenyatta 2017.
Your obsession with wanting Kenyans to want to be Tanzanian is pathetic. Here is the page from your bogus link.

Capture.JPG
 
Tatizo sio kutafuta uraia..elimu yenu mbovu...

Narudia tena...shule km saint kayumba wanasoma watoto wa walala hoi...wenye hela watoto wao husomea nje au hta international schools...elimu yenu mbovu..mpka nynyi wenyewe hamujiamini nayo
Unachekesha ww.
Kumbuka kuna mitaala ya Cambridge huku.
Mtoto wa Tz alosomea Cambridge Almuntazir upanga huwez kumfananisha na fala yeyote alosomea Kenya.
Na sababu ya kufuata elimu ni ya kawaida.
Mm nataka mtueleze kindaki ndaki je hao wanafunzi walitaman kuishi kenya au walifata elimu tu na kurudi kwao???
Maana ht Waturuki hufuata elimu India ya udaktari nao tuseme wanataka kuishi India kwenye umaskini mwingi????!!!!!!
 
Mbna tundu lissu mkamshindwa basi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama ambavyo wakenya hujazana Muhimbili, Ocean Road Hospital, na KCMC Hospital kule Moshi kwa ajili ya kufuata matibabu bora na nafuu, kwasababu Hospital zenu hamna kitu.
 
Tatizo sio kutafuta uraia..elimu yenu mbovu...

Narudia tena...shule km saint kayumba wanasoma watoto wa walala hoi...wenye hela watoto wao husomea nje au hta international schools...elimu yenu mbovu..mpka nynyi wenyewe hamujiamini nayo
Hahahaha nimeamin ww km huvuti bangi wanywa local beer.
Nimekuuliza watz ambao wana hela waliosoma shule za cambridge Tz hapa hapa tuwazungumziaje?????
Na sio kila shule ya government inatoa elimu hafifu hujatembelea mashule ya serikali kama Temeke,Daresalam,Chang'ombe ukaone elim wanazotoa.
Hiyo ni uamuzi tu wa mtu.
Kwan mbona Turkey wanaenda soma India some of them udaktari watakasema Turkey ina mfumo mbovu wa elimu!?????
Bro unakwma wapi au umelewa ukasahau kunywa supu!!!!
 
Back
Top Bottom