Mamia ya silaha za Magaidi wa Hezbollah zagunduliwa na Askari wa Israel huko Lebanon!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Mama ka ya silaha za magaidi wa Hezbollah zimekamatwa na Majeshi hodari ya Israel ndani kabisa ya Lebanon baada ya msako makali unaoendeshwa huko na IDF!!!!!

Adiosamigo na Mzee wa UHARO Ritz wanajifanya hawaoni hii Post!!
 
Attachments

  • IMG_5695.jpeg
    IMG_5695.jpeg
    168.8 KB · Views: 14
  • IMG_5694.jpeg
    IMG_5694.jpeg
    210.5 KB · Views: 17
  • IMG_5693.jpeg
    IMG_5693.jpeg
    169.9 KB · Views: 11
  • 595545707010588432.mp4
    2.7 MB
Mama ka ya silaha za magaidi wa Hezbollah zimekamatwa na Majeshi hodari ya Israel ndani kabisa ya Lebanon baada ya msako makali unaoendeshwa huko na IDF!!!!!

Adiosamigo na Mzee wa UHARO Ritz wanajifanya hawaoni hii Post!!
Nilikuambia wewe ni kenge hizo silaha wamezikuta nje au ndani ya majumba afu nikikuambia wewe huna hata background ya military ndio sababu unaona hizo ni silaha wakati hayo no makombora yanarushwa kwa kutumia launchers zipo wapi launchers hapo. Hizo silaha hazina mana kama launchers hazipo.
 
Ulivyo mjinga hayo makombola si silaha!!! Waarabu-koko aliyewaroga kafa!!!!
 
Hayo makombora bila launchers yatafanya nini kenge usidhani Israel atayatumia ni mzigo unabeba haukusaidii lolote
 
Kwa hiyo wewe unataka nini hapo?

Uzuri Majeshi hodari ya Israel yameangamiza makombola yale yote wakiwemo Magaidi wa kutosha!!
 
Wacha ndoto Hezbullah wako very strong yule Puppets alikimbilia kusign mkataba na Isreal ndio Hezbullah akawacha awaone wataishia wapi sababu wananchi wa Lebanon wasidai Hezbullah ndio hawataki peace
 
Endelea tu kuweweseka lakini magaidi huko Lebanon wanaangamizwa kila siku!!
 
Hebu tuonyeshe wapo wapi hao magaidi tuonyeshe kuanzia week mbili zilizopita mpaa leo tuone kama maneno yako ni kweli
 
Angalia maangamizi kwa Magaidi na silaha zilizotekwa!!!! Au unataka nikuwekee na maangamizi ya Hamas huko Gaza?
 
Attachments

  • IMG_5695.jpeg
    IMG_5695.jpeg
    168.8 KB · Views: 11
  • IMG_5694.jpeg
    IMG_5694.jpeg
    210.5 KB · Views: 11
  • IMG_5693.jpeg
    IMG_5693.jpeg
    169.9 KB · Views: 11
  • 595545707010588432.mp4
    2.7 MB
  • -7515808436713378536.mp4
    2.7 MB
Angalia maangamizi kwa Magaidi na silaha zilizotekwa!!!! Au unataka nikuwekee na maangamizi ya Hamas huko Gaza?
Huna jipya hizo silaha unazipost week nzima tena ni makombora bila launchers nimekufahimisha lakini wewe kwa kuwa ni kenge unamini kila kitu anacho post Israel kwenye propoganda war. Hao walio kufa dalili yako ni ipi kama ni wanamgambo wa Hezboullah kwa hio kila gari likipigwa na wakifa raia ni askari wa Hezboullah kwa sababu Israel kapiga huko Lebanon
 
Ni lazima tu magaidi wafe kwa wingi sana maana hakuna namna nyingine!!

Silaha nyingi sana za magaidi zinatekwa na kuangamizwa ni ushindi mnono kwa majeshi hodari ya Israel!+
 
Back
Top Bottom