Mamlaka angalieni Changamoto ya Gharana za Upasuaji wa wagonjwa wa mifupa kwenye Hospitali za Umma.

Chendembe

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
459
Reaction score
500
Nina utamaduni wa kutembelea wagonjwa Hospitalini na katika jamii inayonizunguka. Katika hali iyo nimekuwa nakutana na wagonjwa wenye Changamoto mbalimbali.

Changamoto ya hivi punde ni Gharana za Upasuaji kwa wagonjwa waliopata ajali Na kuvunjika viungo Hospotari ya Rufaa Dodoma (General Hospital).
Kuna Mambo hayapo Sawa katika malipo ya Gharana za Upasuaji wa wagonjwa wa mifupa. Gharana zinalipiwa sehemu mbili, malipo ya Hospitali ambayo ni halali, na malipo ambayo mgonjwa anatakiwa kwenda nayo chumba cha Upasuaji ambayo Ni ya giza. Malipo hayo ya gizani ni makubwa Zaidi ya Mara nne ya Yale ya Hospitali. Mbaya Zaidi, kama mgonjwa anakosa pesa hizo hasaidiwi kupata huduma hiyo.
Tafadhali wanaohusika tuwekeni Gharana halisi kwenye mbao zenu za matangazo kuondoa manung'uniko ya wagonjwa.
 
Taabu jila mtu na lwake hadi yamkute:

Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?

Hivi hospital ya Muhimbili Mloganzila ni Hospital ya Serikali? Kama ndio, Kwa nini gharama ziko juu Sana Kiasi hiki?

Ngoja niwaite pia Taasisi ya mifupa-MOI bila kumsahau Robert Heriel Mtibeli mdau.
 
Back
Top Bottom