Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

Hebu tupangie series' za fuso Ili tujue unazifahamu vizuri
Na Mimi nitakuja Kwa evidence ..isije ukawaongopea watu wasiojua magari
 
Tandam inabeba 17tn
 
Madereva fuso Ni wasataarabu Sana, Kwanza hawanaga HARAKA Sana na wamerelax.

sio wale wa mabasi fujo fujo TU barabarani.
 
Dah....binafsi laana zangu nazielekeza kwa msanifu wa taa za mbele za Fuso... Labda kama aliambiwa Fuso ni gari ya kuwindia 🤣🤣🤣🤣🤭
 
Kuna wakati zinaingia miaka ile ya 2000+ bima nyingi walisita kuzikatia comprehensive insurance wakiona body umeifanyia modification maana zilikuwa zinapiga chini mno
Fuso ni gari ya mizigo ya uzito mdogo fuso zinaonewa mbali na hayo pongezi kwao Mitsubishi koz fuso ni gari dume sana huwezi fananisha na gari za ulaya in term of durability na mwendo
 
Wapunguze kodi watu walete maroli yanayostahili kwa kubeba mzigo sio mtu anaagiza tani nne Fuso harafu analiongeza linabeba mzigo wa tani 15 hapo mfumo wa breki na mambo mengine hayawezi kuwa sawa na bodi lililoongezwa...
 
Unakutana na gari ukitokea kwa nyuma unaweza kudhani ni scania,kwa kuangalia ile body yake...lakini ukija kwa mbele kuona ile kibini unakuta kumbe ni fuso.
Hahahaha hilo body huwa unaliangalia kwa uoga tu!

Ukitaka kujua body ya scania ni kubwa zaidi, ukute wanahamisha mzigo kutoka gari moja kwenda nyingine zikiwa zimetegeana migongo.

Kwa kifupi body ya fuso na huo ukubwa unaouona, inaweza kuingia nzima nzima ndani ya body ya scania.

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…