Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Unajua gari ikiwa ina tone 7 inaweza kubeba 20/22 Tones...Hii ni Kwa Mujibu wa manufacturers !!!..Tena Nchi nyingine Zinakula mzigo mkubwa zaidi!!Anaongelea spec za manufacturer na ni kweli Fuso kwenye spec za Manufacturer ni tani nne ila hapa bongo ndio mzigo tunapiga tani kumi
Ndio wataalam wetu wa TANZANIAKama ndio uzoefu huo alaf hujui kwamba fuso ni tani4 tu basi wewe mzoefu kihiyo
Mkuu ilikuwa hatari sana,Acha kabisaHahaha,,,,inashuka huku inakata mauno?
Hapa tunaongelea za 3.5/4 Tones lakini ziko Fuso zenye Ton nyingi zaidi inataka kueleweshana tu!!
Lakini Kwa light cargo Kwa kuonganisha mikoa yetu na kuharakisha Ukuaji wa Uchumi Fuso hizi ndio kimbilio kubwa na Zinafanya Kazi kubwaMitsubishi fuso great ni chache sana hapa TZ, hivyo case zao za kufail brake ni chache. Ila kiukweli fuso hazina break.
Ni kweli lakin Amin kwamba hakuna scania ya kufuata super great sema mechanics wabongo wazushi gari Ina umeme mwingi sana hio ila ni gari chief wakishindwa kuzitengeneza suggestions ni kuweka engine za scania 90,93,95 na 113 ni hizo tu lakin mbona hawaweki engine zenye umeme kama za 124 unajua ni Kwa nn koz hata hizo engine Bado zinawashindaToo general!
Ukilinganisha Super great yenye same specifications na p series.. scania remains the best kwa kila kitu!
Nazijua super great kadhaa zenye injini ya scania lakini sijawahi kusikia scania ina injini ya fuso!
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Kuhusu ufundi wa Engine/body na modification Kwa Watanzania ni Hatari sema hujapata watu sahihiNi kweli lakin Amin kwamba hakuna scania ya kufuata super great sema mechanics wabongo wazushi gari Ina umeme mwingi sana hio ila ni gari chief wakishindwa kuzitengeneza suggestions ni kuweka engine za scania 90,93,95 na 113 ni hizo tu lakin mbona hawaweki engine zenye umeme kama za 124 unajua ni Kwa nn koz hata hizo engine Bado zinawashinda
Zipo nyingine zina freezer!!..Acha kupotosha!!..
Unakataa hakuna zenye freezer au kwasababu gharama watu mnashindwa!!..Azam,Asas,Jambo,Mo,Tanga fresh, Kilimanjaro fresh hawa wanazo Fuso, Isuzu,Hino na nyingine za kichina zenye freezer (3.5,4,7,10 Tones na kwendelea)Yenye freezer haiezi beba hata tani kumi. Kumbuka tandam kibongo inabeba tani 17 ,18. unategemea mfanya biashara akodishe ipi hapo? Na ukizingatia yenye freezer nauli iko juu zaidi japo mzigo inabeba mdogo?
Sawa mkuuKama ndio uzoefu huo alaf hujui kwamba fuso ni tani4 tu basi wewe mzoefu kihiyo
Yes sasa wewe umeleta mjadala hapa tuendelee manaake tunapeana Elimu. Ndo nilikua nataka challenge ya hivi
Hadi tani 12 inabeba ππ Wabongo nyosoAnaongelea spec za manufacturer na ni kweli Fuso kwenye spec za Manufacturer ni tani nne ila hapa bongo ndio mzigo tunapiga tani kumi
Hahaha wanapenda hizo filimbi balaa...Wazee wa zzziiiiii chaaaaa zzziiiiiii chaaaa zzziiiiii chaaaaaa, na kuchafua cabin kwa stickers, wamiliki wa fuso wananatakiwa wazuiwe hii tabia ya kuongeza ukubwa wa body huko nyuma na zbak vpis kma znavyotoka kiwandani.
Nimekubambaaa[emoji28][emoji28]Mbona semi zimeandikwa 10/15 Tones na zinabeba Hadi 35/40 Tones
[emoji23][emoji23] stop engine hizo asipo piga hizo atapita na vibanda vya watuHahaha wanapenda hizo filimbi balaa...
Yaan hili tatizo vijana wa kaskazini sijui watasaidiwaje. Huwa wakikaa bar wanasifianaga kbs bwana jama unatembea sana wewe hufai. Basi wanaona sifaaaa... yaani hizo filimbiii daah. Hata bure sithubutu kupanda lift. Halaf ukikuta dereva ameshaiva kvant ama nyagi anaona kama hatembei hv. Na ingine aweke kwenye kichupa cha maji sikilizia filimbi zake. Na usimombe gari haina mzigo.[emoji23][emoji23] stop engine hizo asipo piga hizo atapita na vibanda vya watu
ππππππNimekubambaaa[emoji28][emoji28]
Fuso inatembea utadhani Upepo!!!Yaan hili tatizo vijana wa kaskazini sijui watasaidiwaje. Huwa wakikaa bar wanasifianaga kbs bwana jama unatembea sana wewe hufai. Basi wanaona sifaaaa... yaani hizo filimbiii daah. Hata bure sithubutu kupanda lift. Halaf ukikuta dereva ameshaiva kvant ama nyagi anaona kama hatembei hv. Na ingine aweke kwenye kichupa cha maji sikilizia filimbi zake. Na usimombe gari haina mzigo.
Nadhani shida sio kupakia Bali baadhi ya Madereva ni shida kuna Moja nilikimbizana nayo Kutoka Tanga kuja Dar Gari inakimbia utadhani haina mzigo ni balaa ukute Turbo yake bado ipo unaweza kusema haijapakia!!..Zile Kona za Wami jamaa ana lala nayo tu nilivyofika Kibaha nikamwambia utakufa wewe!!.. imagine Niko na crown lakini Fuso ilinitoa JashoYaan hili tatizo vijana wa kaskazini sijui watasaidiwaje. Huwa wakikaa bar wanasifianaga kbs bwana jama unatembea sana wewe hufai. Basi wanaona sifaaaa... yaani hizo filimbiii daah. Hata bure sithubutu kupanda lift. Halaf ukikuta dereva ameshaiva kvant ama nyagi anaona kama hatembei hv. Na ingine aweke kwenye kichupa cha maji sikilizia filimbi zake. Na usimombe gari haina mzigo.