road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Utafiti wa kutosha ufanyike kuhusiana na mwenendo wa haya Malori jamii ya FUSO.
Magari haya yamekuwa ni chanzo kikubwa sana cha ajali zinazo poteza maisha ya Watanzania wengi!! Yaani kama utasafiri usiku ndio utaona namaanusha nini.
Mwendo wa haya magari sio mchezo ni hatari sana kwa watumiaji wengine wa barabara. Aina ya madereva wa Fuso ni watu waliojitoa mhanga kwa kweli!! Pia ni watumiaji wazuri sana wa bangi, mirungi, K Vant, gongo nk. Wamekuwa ni chanzo kikubwa cha ajali!
Pili Haya malori ni tani nne lakini hayo mabodi ya fuso (ambayo yamejengwa hapa Tanzania) yanabeba mpaka tani 12!!! Au zaidi !! Hii ni hatari mno!! Hasa kwenye mifumo ya break!!! Fuso nyingi huanguaka au kugonga sababu ni ujazo mkubwa unaosababisha break kufeil !!