Mamlaka husika mchukulieni hatua huyu mzungu amewatukana dada zetu wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla

Huyu mleta mada ni mdangaji wa kimataifa, na akishadanga huko anakuja bongo kuwasaga wenzake, hivyo anaogopa kuharibiwa soko.
Duh! I wish siku moja nikuone nikuhug tu, unaonesha unapitia maisha magumu sana maskini, unachuki kali sana juu ya vijana walokuzidi maisha,
Ila nakuombea na wewe siku moja utakuja kula keki ya taifa 😄😄😄
 
Aisee hujasoma maelezo yangu? kichwa cha habari je?
Kwanini unauliza mbona sitetei wanaume wakati kila kitu nimekiweka wazi, lol
 
HAPA NTARUDI NA SMARTPHONE BAADAE NIMSIKIE HUYO MZUNGU.....
 
Amesema most of them are usually ...hivyo haja generalize kuwa ni wanawake wote
Mwisho amemaliza kwa kusema ni his own experience maybe others have different experience
Kiujumla yote aliyosema ni ukweli
 
mimi mwenyewe imenitokea,nimemtongoza mdada,ata haijaisha nusu saa ananiambia"naomba uniongezee elf 50 niongezee kodi ya nyumba"nilisimama na kuondoka
 
Wacha watumie uchi bwana kwani sii mbususu zao na sie tunafaidika hapo hapo
 

Dah ukweli mchungu
Demu mnakutana inabidi ujipigie game tu ulale maana hakuna mnachowezq kuongea maana kichwani ni empty wamejaza akina Diamond, Zuchu, Mobeto nk.
 
Ukweli lazima usemwe,dada zetu wanatudhalilisha sana kwa tamaa zao.

Kitu ambacho hawajui, wao wanaamini wanaume wahuni ni WaAfrica tu kumbe hata Wazungu miongoni mwao Kuna washenzi kama washenzi wengine tu.

Wengi wanaishia kuliwa matako, wengine hata hufanyishwa group sex na Kila aina ya udhalilisha unakuta bado mwanamke yupo tu kisa Mzungu. Dah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…