Sasa ulitaka asikuombe? Au akamuombe nani?Juzi tu nmetoka kutongoza mrembo insta.
Hata hatujaonana keshokutwa yake ananiomba laki moja eti akahemee ndani ameishiwa kila kitu.
Hivi nyinyi wanawake mbona majinga sana?
Yes wafanye kazi na waache kutumia uchi kama kitega uchumiYes Wana act Sana dada zetu ndio sababu utawaona Sana kwenye malls, supermarkets, beaches wakijifanya kuhang kumbe wadangaji Tu njaa Kali, wanaaibisha Sana waelewe hakuna pesa ya haraka pesa ni process na dunia ya Leo ukitumia uchi kamakitega uchumi umekwisha
Bora huyo mzungu kuliko lesbian
View: https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ
Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake,
Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha chekesha kama fisi limeona fupa, mtu anaonesha ubaguzi wazi wazi kwa kuwaita Maskini, mna magonjwa ya zinaa, mnaomba omba, mnafake furaha na maisha bora n.k jitu linafurahi kisa hayo maneno kasema mzungu dah! naimagine huyo mzungu angekua amewasema hivyo Wasouth au Wanigeria sijui kama angekua anapumua sasa hivi,
Serikali inatumia billions of money kuita watalii Tanzania halafu watu kama huyu mzungu wanaongea uzushi na uongo ili kukimbiza watalii Tanzania, mtu kama huyu kwanini asifunzwe ili iwe fundisho kwa wageni wengine wakiwa nchini wafanye kilichowapeleka na sio kuongea uzushi na uongo kwenye mitandao?
(Hii tunaongea wenyewe kama familia) dada zetu wa Dar muwe na stara sisi tushawazoea kutuomba omba hela sasa akitokea mgeni mjikaze basi, wazungu hawajazoea kuombana ombana hela, tulia akupe mwenyewe, sio umekutana na mtu leo kesho unampa mkeka wa matatizo yako, kodi, bills, hospital, mama, wadogo zangu, acheni hizo mjishughulishe kama wenzenu wa mikoa mingine, mnawaponza wengine kwa makosa yenu, kadhalika kaka zetu ukitoka na mzungu usijibweteke bills zote alipe yeye jitutumie angalau hata mgawane nusu kwa nusu, unaweza ukasema nalipia vinywaji, lipia chakula au nalipia usafiri lipia chakula na vinywaji sio unajichekesha kesha tu ikija bill unavizia mwanaume mwenzio alipe haipendezi mbadilike!
Haya twendeni tukamshambulie huyo mzungu kwenye comments atukome waTZ.
Wewe umenikumbusha siasa za Kikwete kwenye documentary ya mapanki!

Amesema haya yapo karibia kwa nchi zote zinazo endelea.Tatu yooooote aliyoyasema yapo kwenye nchi zote za Kiafrica na nchi zingine maskini kwanini iwe TANZANIA tu?
Kasemea Tanzania ambapo anaexperience unataka asemee sehemu ambayo hata haijafika? Hada kwenye dating site Ukitaka kumtapeli demu wa kibongo ujifanye mzunguMkisoma maelezo yangu vizuri mtaelewa maana yangu, kwanza ni kitendo cha kuwajumuisha wanawake wote wa KITANZANIA wakati yeye amekutana na WADANGAJI wa DAR na ZNZ,
Hayo yote aliyoyaongelea ni aina ya wanawake alokutana nao barabarani na kwenye bars na clubs alipaswa aainishe hayo kwenye maelezo yake badala ya kujumuisha wote,
Pili hayo maneno akiyasema mtanzania kwenda kwa mtanzania mwenzake sio habari ila kuyasema mzungu kwenda kwa Watanzania ndio habari ilipo
Tatu yooooote aliyoyasema yapo kwenye nchi zote za Kiafrica na nchi zingine maskini kwanini iwe TANZANIA tu?
Nne hamuoni kama anawaogopesha wageni wenye matarajio ya kupata wenza wa maisha Tanzania kwa huo mjumuisho wake wa hao wanawake wadangaji na wanaume machawa anaokutana nao?
Ndugu hao ni mateja.Matusi ya ndugu kwa ndugu ni kawaida ila muhamiaji kutoka atokako na kuwatukana hao ndugu sio kawaida, na lazima ndugu mtaungana kumfurusha huyo fedhuli
Kawaharibia soko au kafanyaje? Mbona mengi anaongea ni ukweli? Tangu lini tumeanza kuogopa ukweli?
View: https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ
Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake,
Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha chekesha kama fisi limeona fupa, mtu anaonesha ubaguzi wazi wazi kwa kuwaita Maskini, mna magonjwa ya zinaa, mnaomba omba, mnafake furaha na maisha bora n.k jitu linafurahi kisa hayo maneno kasema mzungu dah! naimagine huyo mzungu angekua amewasema hivyo Wasouth au Wanigeria sijui kama angekua anapumua sasa hivi,
Serikali inatumia billions of money kuita watalii Tanzania halafu watu kama huyu mzungu wanaongea uzushi na uongo ili kukimbiza watalii Tanzania, mtu kama huyu kwanini asifunzwe ili iwe fundisho kwa wageni wengine wakiwa nchini wafanye kilichowapeleka na sio kuongea uzushi na uongo kwenye mitandao?
(Hii tunaongea wenyewe kama familia) dada zetu wa Dar muwe na stara sisi tushawazoea kutuomba omba hela sasa akitokea mgeni mjikaze basi, wazungu hawajazoea kuombana ombana hela, tulia akupe mwenyewe, sio umekutana na mtu leo kesho unampa mkeka wa matatizo yako, kodi, bills, hospital, mama, wadogo zangu, acheni hizo mjishughulishe kama wenzenu wa mikoa mingine, mnawaponza wengine kwa makosa yenu, kadhalika kaka zetu ukitoka na mzungu usijibweteke bills zote alipe yeye jitutumie angalau hata mgawane nusu kwa nusu, unaweza ukasema nalipia vinywaji, lipia chakula au nalipia usafiri lipia chakula na vinywaji sio unajichekesha kesha tu ikija bill unavizia mwanaume mwenzio alipe haipendezi mbadilike!
Haya twendeni tukamshambulie huyo mzungu kwenye comments atukome waTZ.
Naunga mkono hojaHuyu mleta mada ni mdangaji wa kimataifa, na akishadanga huko anakuja bongo kuwasaga wenzake, hivyo anaogopa kuharibiwa soko.
Ona sasa, mm na wewe nani masikini. Bitch I can feed your whole family na chenji ibaki upumzike kudanga na kupigwa Double Penetration na hao waarabuDuh! I wish siku moja nikuone nikuhug tu, unaonesha unapitia maisha magumu sana maskini, unachuki kali sana juu ya vijana walokuzidi maisha,
Ila nakuombea na wewe siku moja utakuja kula keki ya taifa πππ
Au ndo wewe nini?Sasa ulitaka asikuombe? Au akamuombe nani?
Laki kwani mm ATM, hizi pisi zimekua jinga sana sikuhiziEeeh laki hapana si bora ukanunue mbususu.
DuuhMbona wachaga ni wadangaji wa kimataifa mkuu, wapo wanaowekewa nyeti ili tu wapigwe pipe wajipatie pesa, cheki Kama Kuna mwanamke wa kichaga anaolewa na kysaka asiye na hela ama asiyejiweza. Mwanamke wa kichaga akiwa kwa mmewe mwenye Mali anajitahidi kuwanyanyua wadogo zake, watasomea kwa shemeji na watapewa mitaji,akikataa anauliwa
NdioUshauri wako tumuignore tusimpe kiki, lol
Aisee huyo mzungu nae sio bure katumwa na tena ni kapuku π€£ waahediNa wanaume mmetajwa au hujasikia hicho kipengele? hasa wachaga ππ
Poa dada naomba π€Pouwa Sinwar, niaje?
π³π³Mbona kawachana ukweli Yani unakuta dada unafake maisha ili uolewe na mzungu Kuna mpangaji jirani yangu alijishobokesha sana Kwa mzungu mpaka akifirwa na kurekodiwa kumbe mzungu mwenyewe Koko Hana maisha
Wewe bhana ni kapuku apeche alolo, unajifaragua kwenye keyboard ila sisi wajanja wa town tunaelewa, eti you can feed my whole family ππππ maskini kwa kujifariji hamjambo,Ona sasa, mm na wewe nani masikini. Bitch I can feed your whole family na chenji ibaki upumzike kudanga na kupigwa Double Penetration na hao waarabu
Au ndo wewe nini?
Kwa hiyo kumbe haya ndio yamemchukiza huyu mleta mada hadi amekuja huku kushtaki eti tuungane nae twende tukamtukane huyo mzungu huko yutube?Kasema;
1. Wanawake wa bongo wanajali sana hela - Kweli
2. Wanawake wa bongo wanavaa sana mawigi - Kweli
3. Wanawake wa bongo hawajali muda mnapokubaliana kukutana - Kweli
4. Wanawake wa bongo wanataka uhudumie ndugu zao ukiwa nao kwenye mahusiano - Kweli
5. Ni ngumu kufanya maongezi ya maana na mwanamke ambaye hajasoma/hajasafiri nje ya Tanzania - Kweli
Tena haya mambo atakuwa anayapitia zaidi kuliko wenyeji kwasababu ni mzungu. Hajadanganya.